minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,320
- 22,325
Maandamano tarehe 2 nyinyi tarehe 1 mkawakamata viongozi hapo nani muoga wa maandamano? Ni kwa nini hamkusubiria tarehe 2?Acha hasira mingu na Gwajima.
Ngoja nikuulize tu. Hivi nawe uliandamana au ulikaa kwenye keyboard