Gwajima: Makonda ni zero brain, amuomba Magufuli kumpangia kazi nyingine

Kwa kuwa 2020 sio rafiki wa Mkulu
Anahitaji zero brains wengi kuongoza kamati za ulinzi na usalama ili kuwatumia polisi kudhibiti wapinzank na kutisha wananchi kwa Faida ya mtakatifu wa taifa
Gwajima anapoteza muda
Zero brains kwa Magu ni Muhimu kuliko smart dudez
 
Hiyo namba 0755543803 imesajiliwa kwa jina la Albert Malyagili na siyo Albert Nyange Bashite kama Askofu Gwajima anavyosema??

Nadhani Askofu Gwajima Kuna jambo analitafuta akifikiri kinga yake ni yeye kuongea akiwa ktk madhabahu pa Bwana kwa imani kuwa Serikali inaheshimu Uhuru wa kuabudu.

Ni vizuri tu mtumishi wa Dini kuwa kioo cha jamii kama ilivyo kwa wasanii,viongozi n.k.

Utajapata na kushikwa pabaya usione mlango wa kutoka siku iko njiani yaja upesi kama mwenendo wako ndiyo huo.
 
Gwajima anahangaika bure tu na mambo yasiyomuhusu. Anamuhubiri Makonda badala ya Mungu, alafu na waumini wake wanaitikia ameeee...eennn!! Ajabu sana
Lakini Huyo unaye mtaja si ndo anamchokoza Gwajima ? Lazima amjibu vinginevyo waumini wake hawatamwamini, na badala yake watamwamini Makonda.
 
Anashindwa kujua ni kwa nini watumishi wengine tena wenye majina hata kuliko yeye hawaropokiropoki mambo ya siasa kama yeye. Ingekuwa ni kwenye nchi nyingine ashakipata cha moto sema Tanzania tunavumiliana na serikali yetu ni vumilivu
 
Ayo maneno yote kayaongelea kanisani ao ameyaongelea kwenye Yale madanguro ya kona bar ?
 
Heeey!! Kwani na viongozi wa serikali wanapaswa kuwa vioo kwa jamii!? Kama ni hivyo basi yule aliyeongoza uvamizi wa kituo cha Redio na kuandaa dvd feki atakuwa screen ya inch 55 kabisaaaa!!! Ndo maana jamii inamuona vizuri zaidi!!!
 
Pamoja na shutuma anazodaiwa kuwa nazo mkuu wa mkoa wa dar, lakini kugeuza nyumba za ibada kuwa za mipasho ya kueleza madhaifu hayo, katika hali ya ustaarabu, wa jamii au watu walio staarabika, sio sahihi. Nina wasiwasi kama Mungu wa hilo kanisa ndie huyu huyu anaeabudiwa na na waumini wa makanisa mengine. Na kama ni huyo huyo, nina shaka kama sala na maombi ya kiongozi wa kanisa hilo na waumini wake, huwa anayasikiliza na kuyapa uzito.
 
Wangezichapa ulingoni tuone nani kidume washaanza kua kama wanawake kutupiana mipasho kila weekend
 
Bado anaokoteza tu ushahidi! Mh rais alishasema hapangiwi, kama ni kidume na anazaa, aanze kumchana rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…