Gwajima is a whistle blower

Mkuu umeona wapi kiongozi wa madhehebu ya dini anawekwa ndani kwa kosa la utumiaji wa madawa ya kulevya na yakosekane nyumbani kwake na pia mwilini mwake.


Kwani hii vita iliyo anzishwa na mkuu wa mkoa na baadae kamishina baada ya kuteuliwa akapokea kijiti ilihusu utumiaji na kupimwa tu? Au madawa ya kikosekana nyumbani ndio cheti cha kuto kujihusisha hata kama awali ulituhumiwa? Je una kuwa ndio mwisho wa kuchunguzwa? Kumbuka kulikuwa na muda ambao watuhumiwa walipewa kujisalimisha pengine wakautumia na kujipanga.

Mkuu umena wapi kiongozi wa dini kuvunja utaratibu wa muda alio pangiwa wa kuripoti polisi na akaachwa bila kuchukuliwa hatua.




Na washawasha!
 
Haya maneno hata Nyerere aliyaongea, na yana apply kwa josephat gwajima pia.
 
wanataka wampige BAN ili ugeni kutoka koromije usiwepo...
 
Hesabu hii ni rahisi, mpelekeni Gwajima mahakamani Kwa suala la vyeti vya RC. Kama mwongo apate adhabu anayostahili. Na Kama amesema kweli mahakama idhibitishe hayo ni kweli.
 
Ingekuwa baada ya kumtoa ndani Gwajima vyeti vya Daudi Bashite RC wa Dsm vinabadilika ingekuwa HERI sana..
Lakini Zero hata ukiifanyia maombi haibadiliki, will always remain zero.
 
Mbona yy aliyejitajia wenzake ajapelekwa ndani na akawavunjia heshima ? Kwanini yy amesema tu leo mmemnyaka kwa kisingizio cha kuwa mnamfanyia uchunguzi tena? This is unfair ,mnsjitekenya wenyewe af mnacheka ,[HASHTAG]#chenyemwanzokinamwisho[/HASHTAG]
 
Usitete ujinga
 
Hata kama mnajiona mku juu ya sharia na kuita whistle blowing ni ujinga you are days are numbered.
Sikukosea niliposema nakupenda ,yani unaongea vitu na kumjibu mtu kama ulikuwa vile kichwani kwangu, dah asante kunisaidia kumjibu huyo.
 
Naona kwa mbaaaalii kuna MTU ataswekwa ndani kwa hili SIJUI LKN
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…