Nuru na giza wapi na wapi mazee...??
Nuru ikiingia, giza lazima likimbie....
Hapo alipokaa utkufu wa nuru ya Yesu Kristo umemzunguka na kumfunika na kung'aa..
Wana wa kuasi (wabunge wenzake wa CCM) waliuona huo utukufu, wameiona hiyo Nuru juu ya Masihi na Mtumishi wa Bwana atengenezaye njia ya ukombozi wa Tanganyika, wakamgwaya, wakakimbia viti vyao na midomo yao michafu ikafumbwa na Roho Mtakatifu...!
Wewe unafikiri haya 👇👇👇ni maneno ya mtu timamu au ni shetani mwenyewe kutumia kinywa cha mtu huyu kufyatua uchafu huu..?
View attachment 3347934