Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 1,180
- 2,147
Kidume hicho
Ukikaa karibu naye nchi hii iliyojaa machawa,na mkawa mnapiga story za hapa na pale,mtu anaweza kuunganishwa naye pamoja😀Kwenye benchi lake hakuna hata mmoja alie karibu naye 😂
aisee kuna wakati nilikuwa natumia tecno siku nikamtumia sis sms sasa si nikaandika kuna, kumbe yenyewe imeshajiongeza na ku...ma, pona yangu niliirudia ile sms kabla ya kutuma, yaani sijui ningeonekanaje tu, ndo fasta nikafanye setting ikaacha huo mchezoTecno zinajua kuaibisha
Na ww manka macho yako yanaona maneno mabaya kumbe.Keyboard zimezoea neno kutom** Dah bora mod kaona kabadilisha maana
Nuru na giza wapi na wapi mazee...??Kwenye benchi lake hakuna hata mmoja alie karibu naye 😂
Kenge mwenzangu niajeWatu wanaingia wamekunywa gongo halafu wanakimbilia kuandika nyuzi humu. Matokeo yake ndio hayo sasa.
“Kwamba hawamtaji” 🤣🤣🤣Mbunge wa Kawa Josepht Gwajima akishiliki kikao cha Bunge leo Jioni Jijini Dodoma, wabunge kimya wameufyata awamtaji wamekimbia kwenye neno maadili
View attachment 3347721
Afande aijipii,, kuna riarifu la mtandaoni hapa ririrotajwa na afande mheshimiwa mjengo kuwa muyashughulikie .Saa100
Yaan mkui nimejikuta nacheka saana, maana wadau wametiririka kucomment neno lililokosewa.Na ww manka macho yako yanaona maneno mabaya kumbe.
Ndo foo difisheni
Nchi hii kwa unafiki inaongoza,watu wanaona wakikaa karibu naye hawatarudi tena mjengoni.Kwenye benchi lake hakuna hata mmoja alie karibu naye 😂
Mleta uzi aliandikaje?Hee! kichwa cha habari kilivyokuwa mara ya kwanza bora hata moderator walivyokiwahi
Ndani atapewa dakika chacheHuku ndio alipaswa aongee sio kukaa kimya wananchi walikutuka uende ukawasemee ndani ya bunge sio kutafuta umaarufu nje ya bunge
Binadamu ni wanafiki sanaKwenye benchi lake hakuna hata mmoja alie karibu naye 😂
Unadhani angeruhusiwa kuongea kama alivongea, basi hata dk 1 moja isingepita angekua amezimiwa maikiHuku ndio alipaswa aongee sio kukaa kimya wananchi walikutuka uende ukawasemee ndani ya bunge sio kutafuta umaarufu nje ya bunge