imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,437
Lakini Nchimbi akisema ameshuhudia kuwa ni kweli na wewe utaanza kububujikwa na machozi.Mimi siwezi kuamini kabisa.
Lakini Nchimbi akisema ameshuhudia kuwa ni kweli na wewe utaanza kububujikwa na machozi.Mimi siwezi kuamini kabisa.
Wale wanaopiga chafya mortuary na wamethibitishwa kufa Huwa ni nn?Nani alithibitisha amekufa??
Upuuzi na ujinga wa viwango vyote.Tutaendelea lini sisi ?? tuamke waafrika..Juzi kati hapa nikaona clip ya Pasta mwingine katika nchi fulani eti anawanyoa akina Dada nywele za sehemu za siri katika nyumba yoa ya ibada ili kuwabariki huku akitaja jina l Bwana. Jamami ,Jamani Jamani,ndiyo tumefikia hapa?
Na wewe una amini kwamba jamaa anafufua wafu?Kuombea mtu akafufuka ni mapenzi ya Mungu sio ya Gwajima, hivyo Kwa mama yake Mungu alihamua hivyo huwezi kumuhoji Mungu
Naam nipo hapaWajinga watu. EvilSpirit au nasema uongo?
Wanafanya usanii tu, ndiyo maana wakifa usanii wao wote unawekwa waziCumamake africa kugumu afu ch***ko km huyo anakuja kua mbunge wa Tz ni upumbavu
Naam nipo hapa
HakikaNinakazia: "wajinga, watu."
Yale yale ya TB joshuaWanafanya usanii tu, ndiyo maana wakifa usanii wao wote unawekwa wazi
AMEKUFA AU AMEZIMIA? ACHENI KUTAPELI WATUBila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:
View attachment 3096549
Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Mtu akifa si mnasema Mungu alimpenda zaidi? Kwa nini unataka muujiza wa kumfufua aliyekufa kwenye stage? Kwani akienda makaburini huyo mchungaji anakuwa hawezi kumfufua maiti?Wapinga Kristo watabisha na kusema huo muujiza ni maigizo
KabisaYale yale ya TB joshua
Ndo wanafurah manake wengi wanapumbazwa huko wanajua hii nchi ikiombewa ndo matatizo yataisha yale yale ya marehemu kila siku niombeeni nipambane na mafisadi huku 1.5 trillioni hazina mahesabuKabisa
Sijui kwanini Serikali hadi sasa imeshindwa kuwadhibiti hawa Mitume na Manabii feki Kwa utapeli waufanyao kwenye jamii zetu 🙌