Gwajima akipepea bendera ya taifa Teule amfufua aliyekufa

Gwajima akipepea bendera ya taifa Teule amfufua aliyekufa

Bila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:

View attachment 3096549

Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Gwajima anafufua waliokufa? Dah baba yake bado yupo hai? Kama kafariki kwanini asimfufue? Wakiristo hamjifunzi tu Kenya na kibwetere wa Uganda? Kesho anaweza kuwambia wafuasi wajitie kitanzi yeye atawafufua wakamsikiliza
 
Gwajima alikuwa analiita Kanisa lake Kanisa la ufufuo.
Nakumbuka nilikwenda zamani alikuwa Ubungo pale,siku hizi sijui yuko wapi.
Akatoa ushuhuda mdada mmoja pale aliyezinduka mortuary.
Ndiyo nikajua watu wanazinduka mortuary halafu inadaiwa wamefufuliwa.
Sasa kama hii ni video ya zamani.
With God, what you were does not matter.
It is only what you are now that is important.
 
Duh huyu tapeli wa kanda ya ziwa sijui nani kumtuma.
 
Alikuwa wapi kumfufua JIWE aliyempa zawadi ya ubunge 😃
 
Ajabu na kweli serikali inakaa kimya!

Fika Muhimbili, Mloganzila au Ocean road huko kuona wagonjwa waliocheleweshwa mno wakati mapema wangewahi wangepona.

Kuachwa waganga wa kienyeji au hawa ndugu ku exploit watu "kiboko ya wachawi style" serikali haiwezi kujivua uwajibikaji.
Kuna Mwingine Yuko Mwenge Kanisa lake Lina Vitanda vya kufanyia Upasuaji Wakati wa ibada
 
Lakini aliishia kusitika kifo cha rafiki yake Magu.. kwanini hakumfufua?!
Nashangaa sana hua sijui wanatuonaje hawa viazi leo measikia nabii sijui wa wapi anamuombea jamaa hana nguvu za kiume sijui yule jamaa anamtajia watoto wake walivyo mpka majin a nkaona ufala huu
 
Alikuja ruangwa akawapa watu ela wajifanye walikuwa misukule cha ajabu Kun msukule mmoja ulionekana asubuhi unapoint nguo ilipofika jioni akageuka msukule watu wakatawanyika na mkutano uliisha mda huo huo
 
Hapa mm ndo ninapozidi kuwaona wale wanojiita wasomi ndo wajinga zaidi usikute watu na madegree na professors zao wameamini huu upumbavu

Ama kweli wajinga ndio waliwao
 
Bila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:

View attachment 3096549

Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Upuuzi na ujinga wa viwango vyote.Tutaendelea lini sisi ?? tuamke waafrika..Juzi kati hapa nikaona clip ya Pasta mwingine katika nchi fulani eti anawanyoa akina Dada nywele za sehemu za siri katika nyumba yoa ya ibada ili kuwabariki huku akitaja jina l Bwana. Jamami ,Jamani Jamani,ndiyo tumefikia hapa?
 
Back
Top Bottom