Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,913
- 100,100
Kuna nini tena?Kuna mtu kakataa kufufuka?
Kuna nini tena?Kuna mtu kakataa kufufuka?
Bila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:
View attachment 3096549
Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Nani kasema huyo binti alikuwa amekufa?Unawezaje kutofautisha Kifo cha huyo binti ni cha kichawi halafu cha Mama yake Gwajima kilikuwa Kifo halisi?
Kuna nini tena?Kuna mtu kakataa kufufuka?
Mtoa mada amesema hivyoNani kasema huyo binti alikuwa amekufa?
Mtoa mada amesema hivyo
Irudie kuicheza hiyo videoKwani askofu umesikia anasema je?
Mtoa mada amesema hivyo
Huenda alichukuliwa kichawi Ili akawe msukule..Kwani askofu umesikia anasema je?
Ni moja ya mambo ya aibu sana kwa mtu yeyote asiye na tatizo la akili kuweza kuwepo hapo kanisani na kufuatilia tukio hilo.Bila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:
View attachment 3096549
Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
Sitaki kuamini Mkuu, nahisi ni utapeli kama utapeli mwingine tu hapo MjiniHuenda alichukuliwa kichawi Ili akawe msukule..
Lakini aliishia kusitika kifo cha rafiki yake Magu.. kwanini hakumfufua?!Bila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu:
View attachment 3096549
Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.