Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,286
- 37,009
Ni Jambo la kiimani Kama umewai kuishi maeneo ya Kanda ya ziwa matukio ni mengi Sanaa pia hata kigoma Kuna VIZIKA WAZIMA.Unawezaje kutofautisha Kifo cha huyo binti ni cha kichawi halafu cha Mama yake Gwajima kilikuwa Kifo halisi?
NB.
Kwa uzoefu wa Maisha yangu hapa duniani nimeona na nimeshuhudia mengi itoshe kusema Kuna mengi na mengineyo hatuyajui.
UCHAWI, USHIRIKINA,MAKAFARA,MISUKULE, MAJINI,MIZIMU,WACHAWI,MUNGU, MALAIKA ni vitu halisi na vipo.