Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,331
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza.
Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani.
Pamoja na kwamba ilikuwa ngumu kuwaletea maendeleo watu wa Kawe kutokana na vizuizi ulivyowekewa na Mbunge aliyekuwepo, ulitafuta njia mbadala ya kuwafikishia maendeleo”
Hivi hilo linawezekana? Yaani Serikali iamue kufanya jambo fulani halafu Mbunge aweke kizuizi?