Wazee wa hivi ni wabishi sana
Fuatilia mkuu.. Ni sijafanya hivyo kubagaza utu wake..Yaani habembelezeki!
Mbona jamaa ni mhamble sana kila comment yupo mku'like' tu, iwe chai iwe kahawa!
Sasa hili la kusema 'akipanda hashuki' mbona watutisha sasa na kudiscredit ukarimu wake?
Ona umepata like nyingi kwa kila post ulizorudia jf kufa kwa presha ni kujitakiaYaani habembelezeki!
Mbona jamaa ni mhamble sana kila comment yupo mku'like' tu, iwe chai iwe kahawa!
Sasa hili la kusema 'akipanda hashuki' mbona watutisha sasa na kudiscredit ukarimu wake?
Kaka mapema hii umeanza kupost misukule tuache kwanzaHalafu wanapenda no 3 hap kama @kenzyView attachment 3614425
Broo unazingua mi nalog offDah inatokea automatically ujueView attachment 3614444
Mshana umevuta nn leo😂Wakati baba alipokuwa mdogoView attachment 3614403
AminaRudia haya maneno mara 3View attachment 3614447
Shubaaaaamit.... kipochi kimepigwa kiparaaaaaaHuku sio JLW ujueView attachment 3614401