Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,368
thibitisha!!!Hayo ndo matitizo ya kuwa na ID zaidi ya moja.

Ndo hivyo tena FL1, mi nachuna tu! naongea inapobidi...hahahaha Bigirita acha visa wewe...yaani umenichekesha mpaka H/G anashitukia hali yako ..
lakini pia nayo ni nzuri kuna watu wanajua kuchonga mdomo kama mpiga filimbi wa Amelini
Mwanamke MPUMBAVU huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe! Ukweli ni kwamba, Mwanamke akiwa mpole, mcheshi, mvumilivu, hapendi makuu.. Hayo makelele ya kijeshi yatatoka wapi? Nyumba nyingi ukiona zina makelele, asilimia 91, chanzo ni Bibie... Vuvuzela..
hehehe mimi bana mpaka leo nimeshindwa kumuelewa huyu kiumbe (mwanamke), unaweza ukampa hiyo nyama ya ulimi na ya pua pia halaf akakuletea mizengwe, na unaweza ukamuona jamaa anambonda mwanamke mbaya sana na mwanamke ukamuona ameridhika fulu heshima na respekti.
to shorten the story: WANAWAKE SIWAELEWI KABISA.
Sisi wanawake tunavutiwa na mambo madogo sana ambayo hayahitaji kuwaumiza vichwa.. si pesa wala good looking zenu :A S 39:unaweza ukawa na yote lakini amani hakuna ndani ya nyumba
Kauli ya mwanaume ni silaha tosha ya kujenga au kubomoa ndoa yake..Mwanamke anavutia na jambo dogo liitwalo Nyama ya ulimi...
Unakuta mwanaume kadanganywa na wenzio ndoa au mahusiano yako ili yawe imara inabidi yapelekwe kijeshi..uwe mkali kama simba lah hasha hayo mahusiano hayatadumu
Kama unahisi umemkosea mwenza wako muombe samahani kwa lugha tamu
Kama yeye amekukosea na aombe samahani vilevile ....
Lugha zenu zikiwa moja ndoa /mahusiano yenu yatakuwa kama paradise ndogo
Kauli njema ni silaha
Lugha za kibabe /masimango na majivuno...yanbomoa
sawa kina baba/kaka/ dada/ mashemeji nawakilisha............................................:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
hapa umejiongelea wewe, haujawaongelea wanawake wote, kwasababu si wote wako kama wewe, na si wote wameolewa kwa mwanaume kama wako, hivyo experience ya mtu mmoja haiwezi kuwa shared na watu wote kwa kundi lile. Kuna wakati wa maneno matamu ya nyama ya ulimi kama unavyosema, na kuna wakati wa pilipili endapo itasaidia....kila jambo na wakati wake. mnajijua ninyi ni viumbe dhaifu, hilo halina ubishi, wakati mwingine tunatakia kuwalisha pilipili kama nyama ya ulimi haisaidii..kwasababu kama tukiishia kutoa nyama ya ulimi tuuu kwa nia ya kuwafurahisha ninyi tuuu, hatuishi hapa duniani kwa sababu ya kumfurahisha mwanamke tu kwa kila kitu....ukimsikiliza sana mwanamke kwa kila kitu, utaishia kuwa na mawazo ya kike na mapotofu ya kabisa ya saloon kwao. FIRST LADY ongelea lingine, hili nafikiri unatakia ukaongee na wanawake wenzio lakini si wanaume kama sisi. sorry!

Mi nimejifunza kutoongea kabisa!! mpaka msichana wa kazi anamuuliza wifey, mbona baba haongei? amekasirika?
Nimegundua, kunyamaza kuna positive effect kwenye ndoa...kama mwenza ni vuvuzela ataacha au kupunguza, coz hau-entertain maongezi yasiyo na tija!! wala mwenyewe huanzishi maongezi ambayo yeye atakuovateki kwa maneno meeeeengi!! si mnajijuaga tena wadada?!!
hehehe mimi bana mpaka leo nimeshindwa kumuelewa huyu kiumbe (mwanamke), unaweza ukampa hiyo nyama ya ulimi na ya pua pia halaf akakuletea mizengwe, na unaweza ukamuona jamaa anambonda mwanamke mbaya sana na mwanamke ukamuona ameridhika fulu heshima na respekti.
to shorten the story: WANAWAKE SIWAELEWI KABISA.
hapa umejiongelea wewe, haujawaongelea wanawake wote, kwasababu si wote wako kama wewe, na si wote wameolewa kwa mwanaume kama wako, hivyo experience ya mtu mmoja haiwezi kuwa shared na watu wote kwa kundi lile. Kuna wakati wa maneno matamu ya nyama ya ulimi kama unavyosema, na kuna wakati wa pilipili endapo itasaidia....kila jambo na wakati wake. mnajijua ninyi ni viumbe dhaifu, hilo halina ubishi, wakati mwingine tunatakia kuwalisha pilipili kama nyama ya ulimi haisaidii..kwasababu kama tukiishia kutoa nyama ya ulimi tuuu kwa nia ya kuwafurahisha ninyi tuuu, hatuishi hapa duniani kwa sababu ya kumfurahisha mwanamke tu kwa kila kitu....ukimsikiliza sana mwanamke kwa kila kitu, utaishia kuwa na mawazo ya kike na mapotofu ya kabisa ya saloon kwao. FIRST LADY ongelea lingine, hili nafikiri unatakia ukaongee na wanawake wenzio lakini si wanaume kama sisi. sorry!
Mwanaume pia huchangia kuibomoa ndoa yake sio kila jambo mwanamke ndio anaanzisha kuna wanaume wengine wamezidi gubu,kuna wengine wanataka wasikilizwe wao tu,kuna wengine kuomba samahani kwao ni kitendawili.....ndoa au mahusiano hayajngwi na mtu mmoja bali pande zote mbili zikishilikiana
Utadhani unachoongea ni kweli. Mungu aepushe mbali tu. Hiyo nyama ya ulimi huja baada ya kuwa nacho. Na hiyo nyama ya ulimi ni pumbazo la muda kwani tunajua wanawake wana matamanio yao yakisukumwa na hisia na mkumbo. Yaelekea nadharia ina nafasi sana akilini