Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

Unajua DC huyu Rose anasema khsu experience yake kuwa amegundua kuwa wanaume wenye sura mbaya wanakuwa na maneno/lugha nzuri kuliko wale wahandsome.mie kwa upande mwingine nimekubaliana nae kwa vile wale wazuri wanakuwa wanatafutwa sna na inawezakuwapa kiburi.
Ila mie naona mtu yoyte anapaswa kuwa na lugha nzuri awe mwanamke au mwanaume hapo mahusiano yatakuwa imara kwa vile hakuna asiyetaka kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Hilo nakataa!!

Maanake mtapendwa na wanaume wanaojua kuongea tu? na siyo UPENDO?
 
hahahaaa! stuka!!!!
kajirambe leo............for this useful post!!
Unajua hii mutu inafikiri iko na akili kushinda mutu ingine....
akitaka kilo anakupa kwanza stori za buku kumikumi hadi zitimie...
 
Sasa wewe mwanaume jifanye unafuata ushauri wa Firstlady uone kama hutakaliwa kichwani. Ndio I agree at some level kuwa nyama ya ulimi muhimu kwa muda fulani tu lakini muda uliobaki ni kuonyesha uanaume a.k.a ubandidu wako (simaanishi umpige!!!) otherwise ukijifanya unajua kusikiliza kwa saaaaaana utajikuta unaporwa na mibandidu. Wanaume tumeumbwa tuwe na roho ngumu ndo maana hata sura zetu hazivutii,jaribu kuchekia ata wanyama wa kiume wanavyowatreat wakike ndo utajua tunatakiwa kuishi na wanawake kiaje.
 
Leo sina mood ya kujibu ......ila mambo ndio kama hivyo magoma motomoto
 
Back
Top Bottom