Guys, NEVER Get Caught Wearing This

Guys, NEVER Get Caught Wearing This

quote_icon.png
By MO11

akinuna akipata hasira kabla ajatema sumu anakuwa hivi


attached: abdalakichwawazi.jpg

Hahahaaa yu wapi sasa

Teh teh teh! Kama nakuona vile, unakimbilia kufungua picha...
 
Biologically 'ke',socially 'me'
Kweli damu ni nzito kuliko maji, pamoja na socially kuwa "me" lakini replies zako zinasuggest you are a beautifful woman. I have begun to take a liking on you.
 
Kweli damu ni nzito kuliko maji, pamoja na socially kuwa "me" lakini replies zako zinasuggest you are a beautifful woman. I have begun to take a liking on you.

So u can tell a beautiful woman from writings??? Mmmh wonderz will never cease...
 
So u can tell a beautiful woman from writings??? Mmmh wonderz will never cease...
It's not wonders baby, It's some kind of psychology, beauts have their own way of walking, talking and even writing!!
They resemble each other.
 
I see, ona sasa nishamwaga kuku kwenye mchele mwingi, hisia hizi naona zimeniumbua, bora ningemwedea PM.

Umeona eeh mi nlikuwa nakupiga jicho hapa kwamba hapa sio ukawa hunielewi ona sasa mshana jr keshaona na amemuita Mr.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh mi nlikuwa nakupiga jicho hapa kwamba hapa sio ukawa hunielewi ona sasa mshana jr keshaona na amemuita Mr.



Haya njoo tulale mke wangu..! Achana na Huyo Msukuma mwenzangu yeye akiona mwanamke mweupe basi imekua shida.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom