Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Hawa wanaojiita dini ya amani wakifika huko ulaya na nchi zingine kwanza huanza kujidai ni wakimbizi harafu wanazaliana kama panya harafu wanaleta za kuleta maana wana uhakika sasa kuwa wana uraia wa nchi husika jamaa hawa wamesumbua sana Ujerumani,Sweden Australia Ufaransa na nchi nyingi sana sana sasa hivi zinajuta kuwakaribisha jamaa hawa kwenye nchi zao.
Unaota mizizi kwa njia ya Uhamiaji, yaani wao wametandikana kwao halafu wakaona wakimbilie nchi za makafir wapate pumziko, lakini kwa sababu laana ni laana tu bado hawaachi asili yao
 
Mifaransa mijinga Sana, ilijifanya kukumbatia waislam wakati ni magaidi sasa imekula kwao. Magaidi sio wa kuwachekea, Mimi hata nikipanda daladala nikiona Hijab au ile mindevu michafu huwa nashuka

Safi sana na ndio tunataka mutuogope
 
Siku ingine unaandika ,Jesus is Allah according to Quran...hueleweki.

link Isa (name) - Wikipedia, the free encyclopedia
Hiyo link yako uliyonipa inasema namna hii
Arabic-speaking Muslims refer to Jesus as ʿĪsā, while Arabic-speaking Christians since pre-Quranic times refer to Jesus as Yasūʿ (يسو&#1593😉.[1][2] The name for Jesus is used in these two forms in the Qur'an and in Arabic versions of the Bible, respectively.
 
Hawa wanaojiita dini ya amani wakifika huko ulaya na nchi zingine kwanza huanza kujidai ni wakimbizi harafu wanazaliana kama panya harafu wanaleta za kuleta maana wana uhakika sasa kuwa wana uraia wa nchi husika jamaa hawa wamesumbua sana Ujerumani,Sweden Australia Ufaransa na nchi nyingi sana sana sasa hivi zinajuta kuwakaribisha jamaa hawa kwenye nchi zao.

Si umeona uingereza inataka kuanza kuzuia wageni wanaohamia kwao kupitia mgongo wa umoja wa ULAYA.?i think Europeans Wana regret ile mbaya kimoyomoyo.
 
Hizi ni pia ni hisia za jamaa zako walioamua kumuita issa ndio Yesu=X
Naomba unitajie wapi ndani ya qur an Yesu katajwa na kaelezewa.sio Issa.

We unamzungumzia Yesu halafu una review Issa wa qur an.sikuelewi,maana.

Issa sio mwana wa mungu,
Issa hakuzaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu,
Issa baba yake ni yusuf,
Issa hakufa,hivyo hakufufuka,
Issa ni nabii tu wa allah.

HUYU SIO YESU HATA SIKU MOJA.
 
Last edited by a moderator:
Si umeona uingereza inataka kuanza kuzuia wageni wanaohamia kwao kupitia mgongo wa umoja wa ULAYA.?i think Europeans Wana regret ile mbaya kimoyomoyo.
Hao Waingereza mbona wao waliamia nchi nyingi na kuzitawala na kuchukuwa rasimali na kupeleka kwao acha watu nao wakajilipe kwao, Ufaransa nao wamemaliza madini ya Congo na mafuta ya Waarabu, nyie mliokuwa na akili za kitumwa ndio mnawashobokea hawa wazungu wanyonyaji.
 
Hawa wanaojiita dini ya amani wakifika huko ulaya na nchi zingine kwanza huanza kujidai ni wakimbizi harafu wanazaliana kama panya harafu wanaleta za kuleta maana wana uhakika sasa kuwa wana uraia wa nchi husika jamaa hawa wamesumbua sana Ujerumani,Sweden Australia Ufaransa na nchi nyingi sana sana sasa hivi zinajuta kuwakaribisha jamaa hawa kwenye nchi zao.
Wewe unaongozwa na chuki tu huko Ulaya mbona kuna wazungu wengi wa kuzaliwa ni Waislam achilia mbali waliosilimu kwa akili yako mafuta ya taa unadhani wazungu wote ni Wakirsto.
 
KK, Rafiki umesha wakandamiza maAboligonz wazawa asili wa bara la Australia !! hao wa hamiaji wafungwa wa udhunguni wana watenga na kudhalilisha wenye nchi hiyo! Naw unasupport bila hiyana.... Lakini hii ni hulka ya binaadamu!! Tafadhali fanya utafiti siye wanaadamu tumegawanyika kuna baadhi ni wakaidi, kuna wapole(yes men) kuna wajeuri, kuna kichwa maji !! hivyo hatuwezi kuhukumu Umma mzima kwa matendo ya wachache!! Tafadhali tuwe tuna tazama kwa macho yote mawili !! tupo wengi wenye kukubali mazingira yeyote bila kuleta mtafaruku au kuLazimisha desturi kwa mtu!! Hiyo hata kwenu yote haya yapo!!
Mkuu just be straight huu ni ugaidi kwa njia ya UISLAMU. Sio ukoloni mambo Leo, ukoloni wa zamani, ujambazi wa kutafuta pesa, umafia wala nini.
Unaweza kuwa na machungu ya babu zako, hata sympathy kwa hao arbogines wa Australia lakini hiki kitendo Bado kitabaki kuwa kitendo cha kigaidi (terrorist act). HAYA ndo mambo yanayotumika kujenga hofu kwenye jamii.
Pia MTU anaweza kuwa mpole lakini DINI ikambadilisha akawa mtu asiyempole na viceversa.ni swala LA mind tu. Kwa hiyo sometimes swala LA MTU kuwa na tabia flani halitegemei kuumbwa hivyo. Ndio maana Kuna nature na nurture;they both can influence human behavior.
 
Last edited by a moderator:
Huyo nae unataka kusema Muislam? Musialm hawi vile dogo, we ndio kajifunze wanawake wakislam wanaishi vipi ndio utagundua kama huyo lazima awe ni wakikristo tu.

VP kuhusu Diamond na Idris Sultan. Je hawa ni waislamu au sio?

Mkuu tofautisha kati ya kuishi "Kiislamu" na "kuwa mwislamu".
Hawa wote ni waislamu, kwakuwa wanaamini kuwa hakuna Mungu ila Allah na messenger wake Muhammad.
Hayo mambo mengine ni sehemu ya ubinadamu wao lakini wanayo DINI.
 
Tehh tehh tehh,

Hao sio waislam!!!!??

Muulize kwenye ile 65% ya watanzaia wailamu wengi zaidi ya dini zingine hawakuwahesabu hawa!???kama hawakuwahesabu basi waislamu ni asilimia 99%ya watz wote.

Sent from my radio
 
Siobhan's
Hao Waingereza mbona wao waliamia nchi nyingi na kuzitawala na kuchukuwa rasimali na kupeleka kwao acha watu nao wakajilipe kwao, Ufaransa nao wamemaliza madini ya Congo na mafuta ya Waarabu, nyie mliokuwa na akili za kitumwa ndio mnawashobokea hawa wazungu wanyonyaji.

Utumwa ukoloni ni natural disaster kama mvua ya El Nino, comets kudondoka duniani, tsunamis, earth quake, n.k
Wakati Fulani ili tujifunze tunahitaji kukosea. Wa ASIA wameliona hilo ndo maana pamoja na ukoloni wameweza ku-back up.
Leo mjukuu wa mzungu unamwitaji kwakuwa amepandisha thamani ya resources zetu kama madini, kwa pesa nzuri! Wanazinunua.
Wazungu hao wameunda list of Human rights. Kama vile right of belief and religion
All human are equal regardless of race, sex, age, color , Language, Religions, etc.
Kwa hiyo wazungu wa Leo ni civilised human beings, we can no longer hate in the way of their ancestors. We need them as much as they need us.
Waarabu walitufanya watumwa na hawakutaka utumwa uishe hadi leo, na hawapendi human rights kwakuwa inawazuia wasi excell ule utamaduni wao wa umungu mtu lakini tuna smile nao hapa nchini huku bado tumewaacha wanatajirika huku sisi tunasota. Time is ticking.
Waarabu hata wasipokuwepo duniani we need them NOT: they are valueless; because hawajafanya kitu productive cha kuibadilisha hii dunia. They've stuck into mud of primitive philosophy until todate.
 
VP kuhusu Diamond na Idris Sultan. Je hawa ni waislamu au sio?

Mkuu tofautisha kati ya kuishi "Kiislamu" na "kuwa mwislamu".
Hawa wote ni waislamu, kwakuwa wanaamini kuwa hakuna Mungu ila Allah na messenger wake Muhammad.
Hayo mambo mengine ni sehemu ya ubinadamu wao lakini wanayo DINI.

Mkuu bongo hakuna uislam kuna waislam,uislam uko Saudia,Afghanistan,Pakistan,Iran,Indonesia,Kuwait huko ndiko wanakopractice uislam,kwa hapa bongo tushukuru mungu ugalatia umesaidia kupunguza nguvu ya uislam kama uislam ungekuwepo ingekuwa kama Nigeria nyngne ndio maana wakina Diamond na kina Wema wanafanya vitu ambavyo katika uislam wangeshakatwa vichwa hasa katika hzo nchi lakn kwa sababu uislam hakuna Tanzania ndio maana wanakula gudtym.
 
Tehh tehh tehh,

Hao sio waislam!!!!??

Muulize kwenye ile 65% ya watanzaia wailamu wengi zaidi ya dini zingine hawakuwahesabu hawa!???kama hawakuwahesabu basi waislamu ni asilimia 99%ya watz wote.

Sent from my radio

Unakumbuka tukio LA yule mwanamke kule Sudan akiyetaka kuchinjwa kwa kuolewa na mkristo, kwakuwa babaake all kuwa mwislamu, mpaka ulaya na marekani zikaingilia kati na kutangua shariah wakanwaxha huru.
Pia kumbuka mashekh kule marekani waligombania mwili wa Michael Jackson ili wauzike wakisema ni mwislamu mwenzao. Hata magazine zao hapa bongo ziliandika tukio lile.sasa jiulize kitakachofanya wakina wema sepetu, diamond, idris, mr blue, nk. wasiwe waislamu ni nini?

Ni kama kukubali kudanganywa kuwa ISIS sio waislamu au wa ahmadiya sio waislamu.they all Muslims.
 
Mkuu bongo hakuna uislam kuna waislam,uislam uko Saudia,Afghanistan,Pakistan,Iran,Indonesia,Kuwait huko ndiko wanakopractice uislam,kwa hapa bongo tushukuru mungu ugalatia umesaidia kupunguza nguvu ya uislam kama uislam ungekuwepo ingekuwa kama Nigeria nyngne ndio maana wakina Diamond na kina Wema wanafanya vitu ambavyo katika uislam wangeshakatwa vichwa hasa katika hzo nchi lakn kwa sababu uislam hakuna Tanzania ndio maana wanakula gudtym.

Ha ha ha hata bhana. Nimekubali
 
Sasa na wewe unajilipua lini?

Au unasakizia wenzako tu?
Mimi nawasubiri baba yako au mama yako au basha wako.

Siku akikikupeleka kukutafuna tu naanza na wewe.

Cc; faby
 
Last edited by a moderator:
Siobhan's

Utumwa ukoloni ni natural disaster kama mvua ya El Nino, comets kudondoka duniani, tsunamis, earth quake, n.k
Wakati Fulani ili tujifunze tunahitaji kukosea. Wa ASIA wameliona hilo ndo maana pamoja na ukoloni wameweza ku-back up.
Leo mjukuu wa mzungu unamwitaji kwakuwa amepandisha thamani ya resources zetu kama madini, kwa pesa nzuri! Wanazinunua.
Wazungu hao wameunda list of Human rights. Kama vile right of belief and religion
All human are equal regardless of race, sex, age, color , Language, Religions, etc.
Kwa hiyo wazungu wa Leo ni civilised human beings, we can no longer hate in the way of their ancestors. We need them as much as they need us.
Waarabu walitufanya watumwa na hawakutaka utumwa uishe hadi leo, na hawapendi human rights kwakuwa inawazuia wasi excell ule utamaduni wao wa umungu mtu lakini tuna smile nao hapa nchini huku bado tumewaacha wanatajirika huku sisi tunasota. Time is ticking.
Waarabu hata wasipokuwepo duniani we need them NOT: they are valueless; because hawajafanya kitu productive cha kuibadilisha hii dunia. They've stuck into mud of primitive philosophy until todate.
Naomba kuuliza hivi Yesu alikuwa mzungu wa wapi vile?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom