Hao polisi walishindwa nini kuwasaidia wachora katuni wa Charlie Hebdo wasipigwe risasi ofisni kwao.
Story hapa hao jamaa zako wameenda huko tunakodanganywa, bila ushahidi wowote.
Hao polisi walishindwa nini kuwasaidia wachora katuni wa Charlie Hebdo wasipigwe risasi ofisni kwao.
kulikuwa na makudi mawili ya magaidi wakiwashikilia mateka sehemu mbili tofauti. kundi moja linasema mkivamia kundi jingine tunaua mateka tulionao. walichofanya polisi na kikosi cha makomando ni kwanza kuzima mitambo ya simu iliwasweze kuwasiliana na kuwashambulia wote wakati mmoja.
Magaidi yote matatu kwisha habari yao! Mojawapo ni mweusi akiitwa Amedy Coulibaly, sijui anatoka nchi gani Afrika!
![]()
Unajua wanaokuwa magaidi ni wale watoto ambao wanakuwa kama desparate katika kukua kwao,kwa mfano hawa ndugu wawili ni yatima na kukua kwao wamekulia kwenye ustawi wa jamii,inakuwa raisi kumezeshwa idea za kigaidi,ila bora wamekufa,maana lazima wangefanya ugaidi tena maana walikuwa wamejiandaa
Hawa mbwa Uislam Ukikashifiwa utasikia Freedom of speech !
Mayahudi wakichorwa tu utasikia Anti-Semitism...
Safi sana ujumbe umefika tena murua Muislam haogopi kifo wamekufa lakini wachora katuni stadi wa Charlie Hebdo wanaandaliwa mazishi.
Tet teh teh...watu wa shoka wanasubiri wachore tena.
daa soo nice,yaan kama kova na panya road vilekulikuwa na makudi mawili ya magaidi wakiwashikilia mateka sehemu mbili tofauti. kundi moja linasema mkivamia kundi jingine tunaua mateka tulionao. walichofanya polisi na kikosi cha makomando ni kwanza kuzima mitambo ya simu iliwasweze kuwasiliana na kuwashambulia wote wakati mmoja.
Ndugu yangu Ritz wewe unayeshabikia haya mambo, kuna siku itafika na hao unaowaita makafiri wanaweza wakavua ustaarabu na kusema kama keba keba...iko siku hawatasubiri kujibu mapigo. Wenzenu wameshatayarisha miji yao chini ya ardhi na chini ya bahari, wanaweza wakatulia huko hata kwa miaka 10 wakisubiri makali ya hewa yapungue ndio wajitokeze waanze upya. Wakati huo mimi na wewe ni historia.Teh teh teh teh watu wawili kwa askari 80 alikuwa wapi kuwasaidia wachora katuni wakati wanavyomwagwa mavi.
Nasikia wachora vibonzo stadi wa Charlie Hebdo wamefufuka.Kaka utapasuka bure, hao wameshakuuliwa, nawewe unakoendelea nikujilipuwa maana unaonesha kila dallili ya kujitowa roho.
Shkamooni wafaransa hongereni kwa kuwaangamiza magaidi.naomba Yale maandamano ya ujerumani yaendelee kupiwapinga haya magaidi
wanasema wale ma gun men walikuwa wa 5 ila wa4 no comfirmed kwamba wameuwawa
hivi sababu ilikua nini mpaka wakateka?
France wanajuta kukaribisha wageni,maana wote waliowahenyesha leo ni zao la migrantsyeah pole yao may be wataenda mbinguni kama wanavyosema.
baada ya kuingia ndani wamepisha mabomu ya mikoni ila haya ni maalumu siyo kwa ajili ya kuua ni kupumbaza magaidi na mateka halafu vikosi vya uokoaji vinaingia kuondoa mateka na kushambulia magaidi.
yeah pole yao may be wataenda mbinguni kama wanavyosema.
Magaidi yote matatu kwisha habari yao! Mojawapo ni mweusi akiitwa Amedy Coulibaly, sijui anatoka nchi gani Afrika!
![]()
Huu upuuzi unamueleza nani?Ndugu yangu Ritz wewe unayeshabikia haya mambo, kuna siku itafika na hao unaowaita makafiri wanaweza wakavua ustaarabu na kusema kama keba keba...iko siku hawatasubiri kujibu mapigo. Wenzenu wameshatayarisha miji yao chini ya ardhi na chini ya bahari, wanaweza wakatulia huko hata kwa miaka 10 wakisubiri makali ya hewa yapungue ndio wajitokeze waanze upya. Wakati huo mimi na wewe ni historia.
Nasikia wachora vibonzo stadi wa Charlie Hebdo wamefufuka.
juzi walifanya maauaji wa waandishi wa habari na wachora katuni wa gazeti la #CharlieHebdo . Hawa wamekuwa wanachora vile vikatuni vya mtume mohamad ambavyo waislamu wanasema vinamtukana na kudhalilisha mtume wao. wao wanasema wana uhuru wa kufanya hivyo maana hata vya madhehebu mengine wanachora mbona hawachukii hivyo? wanasema lazima watu wajue in and out za mtume ingawa waislamu hawataki ijulikane.
Haya hayatatokea kama wataacha kukashifu Dini za watu. Hawa watu huwa hawaogopi kufa hata kidogo