Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Mim Nilianza Kuwaona Wakat Pop John Alipokufaga Kule Vatican, Mpaka Leo Sijapata Jibu.
Ngoja Wakuu Waje Watusaidie
 
Wauwaji inasemekana walipokimbilia eneo la viwanda, kabla ya kuingia ndani kujificha, walipeana mkono na Raia mmoja na kumwambia hawataki kuua raia wengine.
Kama wanajua walipojificha si wawapige risasi wafe.
 
Watu wawili tu wanaitikisha France vikosi vyote vipi mitaani vinapelekwa mchakamchaka na vijana wawili tu.

Hata mimi nime shangaa sana kwani mataifa ya ulaya yalizoza sana juu ya westgate mall attack ila wao jamaa 2 tu wame wazeveza polisi na wanajeshi zaidi ya 80,000 tena wa Ufaransa wakiwemo SWAT .

N.B:
A SWAT team is a group of highly trained police officers who deal with very dangerous criminals. SWAT is an acronym that means Special Weapons And Tactics. SWAT officers carry weapons of higher caliber than most police officers do, such as machine guns, shotguns, and sniper rifles. Usually, police departments use SWAT teams to catch people who sell illegal drugs or try to hold people hostage. They also respond to serious crimes like bank robberies when normal police officers can not control the robbers.
The SWAT teams are usually called to deal with hostage situations. They plan the entry into the building where the hostages are being held carefully. They look closely at all building entrances to choose the best option. They make use of equipment such as rappelling ropes, nightvision goggles, thermalvision goggles, a tactical shield, flashbang and smoke grenades, snake cameras (small cameras that fit under doors and into very small holes), among others.
 
Attachments

  • SWAT 2.jpg
    SWAT 2.jpg
    73.9 KB · Views: 139
  • SWAT.jpg
    SWAT.jpg
    43.6 KB · Views: 129
  • SWAT3.jpg
    SWAT3.jpg
    78.2 KB · Views: 129
Mifaransa mijinga Sana, ilijifanya kukumbatia waislam wakati ni magaidi sasa imekula kwao. Magaidi sio wa kuwachekea, Mimi hata nikipanda daladala nikiona Hijab au ile mindevu michafu huwa nashuka
 
Mifaransa mijinga Sana, ilijifanya kukumbatia waislam wakati ni magaidi sasa imekula kwao. Magaidi sio wa kuwachekea, Mimi hata nikipanda daladala nikiona Hijab au ile mindevu michafu huwa nashuka

kumbe waislam ni magaidi??
 
Mim Nilianza Kuwaona Wakat Pop John Alipokufaga Kule Vatican, Mpaka Leo Sijapata Jibu.
Ngoja Wakuu Waje Watusaidie

Nashukuru kupata mwenzangu !
Ni kweli Fourier umenikumbusha hata Vaticano wanaonekanaga Askari sampuli hii .
 
Last edited by a moderator:
Takriban 95% ya habari tawala ndani ya 24hrs ya kila siku , kutoka CNN kuanzia siku ya shambulio la Charlie Hobdo ni "Paris terror attack" .
Habari ambazo zinakuja live toka tukioni .

Kwa wale wafatiliaji wenzangu wa CNN nina imani mmeshaona mara kadhaa aonyeshwapo President , Francois Hollande akiingia/akitoka ofisini kwake pale nje ya mjengo mlangoni panakua na Askari wawili mmoja kushoto na mwingine kulia .

Askari hao wanaonekana wamevaa mfano wa uniform za kijadi , mithili ya Askari wa Mfalme hivi .
Mikononi wameshikilia kama upanga flani, na hawaonekani hata kutingishika , kujikuna , kuyumba .
Shortly hawaoneshi any movable symptoms .
Kwa wanaojua nauliza wale ni watu , au masanamu ?

Wale wa ufaransa ni Republican guard . Ni askari hodari sana.
 
Attachments

  • france.jpg
    france.jpg
    43.5 KB · Views: 216
Vita ya Iraq, Afghanistan ina sintofahamu kubwa, humu JF hakuna mtu anweweza kujielezea tusidanganyane wadau
Lakini wenzio wanazungumzia kuuwa binadamu, wewe unasema sintofahamu.
 
Mimi lazima nimshobokee mzungu, yeye kagundua kila kitu, kwanini nisimshobokee, wacha mambo yako bwana. Hii internet unayotumia wewe bila mzungu ungechelewa sana

Mh angalia usishoboke sana, ?
 
Ni askari cheki hapa http://en.m.wikipedia.org/wiki/Republican_Guard_(France)
 
Kujiua ndio uoga, na ujinga shujaa anakufa kwwnye mapambano.

Yule muhuni wa makka kawadanganya kuwa wakifa watapata hululeini 72 huko jehanamu kwa ajili ya kujipoza na makali ya moto so hawasikii kitu hao
 
Takriban 95% ya habari tawala ndani ya 24hrs ya kila siku , kutoka CNN kuanzia siku ya shambulio la Charlie Hobdo ni "Paris terror attack" .
Habari ambazo zinakuja live toka tukioni .

Kwa wale wafatiliaji wenzangu wa CNN nina imani mmeshaona mara kadhaa aonyeshwapo President , Francois Hollande akiingia/akitoka ofisini kwake pale nje ya mjengo mlangoni panakua na Askari wawili mmoja kushoto na mwingine kulia .

Askari hao wanaonekana wamevaa mfano wa uniform za kijadi , mithili ya Askari wa Mfalme hivi .
Mikononi wameshikilia kama upanga flani, na hawaonekani hata kutingishika , kujikuna , kuyumba .
Shortly hawaoneshi any movable symptoms .
Kwa wanaojua nauliza wale ni watu , au masanamu ?

Mbona hata bongo hapa tunao, nilienda saba saba kulikuwa na komandoo mmoja yey ameganda tu kama mti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom