Kingo
JF-Expert Member
- May 12, 2009
- 856
- 396
Mim Nilianza Kuwaona Wakat Pop John Alipokufaga Kule Vatican, Mpaka Leo Sijapata Jibu.
Ngoja Wakuu Waje Watusaidie
Soma hapa
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Swiss_Guard
Mim Nilianza Kuwaona Wakat Pop John Alipokufaga Kule Vatican, Mpaka Leo Sijapata Jibu.
Ngoja Wakuu Waje Watusaidie
Wale wa ufaransa ni Republican guard . Ni askari hodari sana.
human being wakichoka wanaweka sanamuHebu fafanua miss chagga ! Wawe mgando aidha fresh , is't a human being ?
Mkubwa Kingo hiyo image uliyotupitia haifunguki !
Kivipi na nani atakasimamia analolipendekeza?Mi nadhani hii Dunia ili iwe salama lazima kupiga marufuku Dini na Imani zote.
Kila mtu Dini na Imani yake iwe ni siri mzito kabisa.
Wanapendeza sana na mavaz yao..
Ivi watakuwa wanalipwa sh ngap hawa
Sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kutumia maneno haya ya chuki jwani unachikifanya ni kuongeza chuki na tension. We better respect othersYule muhuni wa makka kawadanganya kuwa wakifa watapata hululeini 72 huko jehanamu kwa ajili ya kujipoza na makali ya moto so hawasikii kitu hao
Si njia rahisi lakini angalau itasaidia kama si kumaliza,hizi chuki.Kivipi na nani atakasimamia analolipendekeza?
Dah! Am very sad kuona Wachoraji wenzangu ndio wamekuwa attacked. Let his soul rest in peace.
Itakua ni kama zile imani za kuamini kwamba mvaa kinepi kafa kwa dhambi zetu makondoo