Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Lait ingetokea Yesu akafanya mapenzin na mateka wa kivita, ngono na mke wa mwanae. Mimi nisingemsikiliza. Mungu hawezi kuwa wa ajabu akaleta habari njema duniani kupitia makashfa ya ngono

Kumvua nguo mwana wa mungu na kumpa kichapo akiwa uchi, hiyuo haijawa kashfa eeh !? Kakende bin Kipumbu
 
Last edited by a moderator:
Imagine someone in the name of freedom of speech, draws a cartoon of your mother doing despicable immorality with her son, her father, uncle, grandpa and others + spreading them on the net worldwide, while She is free from it. What will be your reaction? Probably u will just let it go eeh ? I know as a Human you won't let it go that easily.

How about someone in the name of freedom of speech draws a cartoon of your father depicted as a homosexual, child molester, fornicating without boundaries and maybe kissing the p.o.pe a.*s & spreading them on line. I presume You'll just say, hello daddy that was cool !! No you won't, maybe you will be taking a suicide mission as well.

Assume maybe your top religious leader is satirically drawn with the set of the above, and you know it's a big lie, you know it's out of the limit. What would u do? I bet Christians will say "We will forgive and forget"

Telling you the Truth your subconscious mind will never forget. always the image will haunt you and maybe you will despise your mom, daddy and religious leader drawn in the cartoon forever. isn't that what Charlie's and co want the world to despise and mock our Prophet ?

As Muslim we have several responses;
1. Forgive and wait for Allaah to judge the wrong doers
2. Teach them what they have done is wrong and is beyond any pain a human can bear. if they accept well and good, but if they insist on mocking, there is
3. Let the Authority deal with it or
4. Revenge - As for revenge, there are different options. but I would rather just say May Allaah guide us all and forgive our Sins
 
They like to die, cha ajabu wamekimbia kujificha. nani kasema anapenda kufa akaacha sembe!!!!! niwajinga ndo husema wao hawaogopi kufa..................................jamaa wamekimbia kujificha sijuwi wapi lakini kwa msako unaoendelea wataibuliwa mmoja mmoja

Lengo limetimia 100% !
 
Kuna polisi mwingine wa kike kapigwa risasi leo asubuhi.
 
Kuna polisi mwingine wa kike kapigwa risasi leo asubuhi.

Wakipigwa wao utatokwa povu, jitahidi kujifunza kuhurumia wahanga wanaouliwa hovyohovyo. kuchekelea nakushupalia mauwaji haya yaonesha ulivyo naroho ya kishetani. Binadamu gani unayeshupalia watu kuuwa wengine, wauliwa wao utasemaje? ujionga kushabikia maafa.
 
sisi unaamini katika upendo,biblia inasema mpende adui wako,sasa kina charb walikuwa wanachora catoon,freedom of expression,waislamu wanachukia nini?jamani waislamu muwe civilized sasa

mnaamin katika upendo wapi

hata yule mnaesema ni mungu wenu mlimpiga na kumuua

sembuse wanadamu wenzenu??

Mngeamin kwenye upendo msingechukua wazee wetu utumwani huko
 
They like to die, cha ajabu wamekimbia kujificha. nani kasema anapenda kufa akaacha sembe!!!!! niwajinga ndo husema wao hawaogopi kufa..................................jamaa wamekimbia kujificha sijuwi wapi lakini kwa msako unaoendelea wataibuliwa mmoja mmoja
kumbe huna update,jamaa wako kwa road,mchana wameonekana kwenye gari wakielekea paris,wakapitia kwenye petrol station na kujaza mafuta na kustock chakula kisha haoo.
hawa jamaa atleast mmojawapo ana uzoefu na hali hiyo kipindi yuko syria na iraq.hakuna maeneo ya hatari kama kuwepo syria.kwahiyo wanatumia uzoefu huo kupigana chenga na special force wa ufaransa ambao mpaka sasa hawajawatia mkononi.
tulisema tangu mwanzo hii tabia ya hawa wamagharibu kuwasupport vikundi vya kiislamu eti kwenda kumpindua assad,vitawatokea puani pindi hawa watu wakiianza kurudi toka syria ama irag na kutumia uzoefu walioupata vitani syria katika mitaa ya europe na marekani.
 
kumvua nguo mwana wa mungu na kumpa kichapo akiwa uchi, hiyuo haijawa kashfa eeh !? kakende bin kipumbu

teh teh teh

unajua hawa jamaa hawana akili

hata yule msela wa vatican wamemtandika uchi pale kwaiyo hata ukiwachorea katuni kwao sawa tuh
 
Wakipigwa wao utatokwa povu, jitahidi kujifunza kuhurumia wahanga wanaouliwa hovyohovyo. kuchekelea nakushupalia mauwaji haya yaonesha ulivyo naroho ya kishetani. Binadamu gani unayeshupalia watu kuuwa wengine, wauliwa wao utasemaje? ujionga kushabikia maafa.
Toa unafiki wewe punguani watoto wa Gazza, Afghanistan, Iraq, Libya wanavyopigwa mabomu na kufa uwa mbona hamuonekani na hizi huruma zenu za kinafiki.
 
mnaamin katika upendo wapi

hata yule mnaesema ni mungu wenu mlimpiga na kumuua

sembuse wanadamu wenzenu??

Mngeamin kwenye upendo msingechukua wazee wetu utumwani huko

Biashara ya utumwa inahistoria yake ndefu sana wala hakuna wakupona wapo akina seyyind said, baraghash nk.
Jambo la msingi hapa nikumwachia mungu, maana tunaamini sikuya kiama atahukum. sasa mungu atafanya nini kama tunatuona roho sisi kwa sisi hovyohovyo.
 
Toa unafiki wewe punguani watoto wa Gazza, Afghanistan, Iraq, Libya wanavyopigwa mabomu na kufa uwa mbona hamuonekani na hizi huruma zenu za kinafiki.

Usitukane tuende plopole kaka. Hapo Iraki ISI na pale Syria nani anauwa watoto na raia wa kiarabu?
 
kumbe huna update,jamaa wako kwa road,mchana wameonekana kwenye gari wakielekea paris,wakapitia kwenye petrol station na kujaza mafuta na kustock chakula kisha haoo.
hawa jamaa atleast mmojawapo ana uzoefu na hali hiyo kipindi yuko syria na iraq.hakuna maeneo ya hatari kama kuwepo syria.kwahiyo wanatumia uzoefu huo kupigana chenga na special force wa ufaransa ambao mpaka sasa hawajawatia mkononi.
tulisema tangu mwanzo hii tabia ya hawa wamagharibu kuwasupport vikundi vya kiislamu eti kwenda kumpindua assad,vitawatokea puani pindi hawa watu wakiianza kurudi toka syria ama irag na kutumia uzoefu walioupata vitani syria katika mitaa ya europe na marekani.

Kwanini wanakimbia nawao hawogopi kufa?
 
Wanakimbia ili iweje nawao hawaogopi kufa? siwapigane wauliwe yaishe.
Usiwapangie watu wa shoka kwanza wanauwa kisha nao watauliwa wanalijua ilo nani alikuambia wamekimbia.
 
Wanakimbia ili iweje nawao hawaogopi kufa? siwapigane wauliwe yaishe.
Wanachofanya ni military manurver(sp?),na kinachowakawiza wafaransa kuwapata ni kuwa uzoefu wa kivita,wao wamezoea kuporomoa mabomu wakiwa futi 30,000 angani,hawana uzoefu na mambo ya field.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom