Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Haiwezekani uhamie nchi za watu halafu ulazimishe Destiuri za huko kwenu ulikokimbia
RAfiki KK, mchana mwema naona sasa umeaanza kusrma maneno ya maana na kuna Point nzuri umeitambua!! hiyo ishara njema kwa dialogue za humu!! Sasa FYI, Amini au usiamani hawa wa FARANSA walikuwepo north Africa ( ALGR,TUNS,MORC) kwa muda wa miaka mingi..

ni hawa hawa walikuwa wa koloni huko North Afrika na kuwaLazimisha wananchi na raia kufuata desturi na thaqafa za kiFaransa hadi kubadilisha lugha ya ardhi (nchi) izungumzwe French !! Tafadhali soma Historiya utatambua ukweli !! kuna Kizazi(generation nzima) ina Bonga French na kusahau tradition zao !! Kindly welcome again...ujio msafii!!!
 
Yaani hawa magaidi naomba wauliwe tu
Unaomba kwa nani wala usisumbuke kuomba hawa jamaa wapo tayari kufa lakini kwanza lazima wahakikishe wanawauwa wahusika wakuu wa Charlie Hebdo.
 
Tumekubaliana uzi huu hakuna kuweka maswala ya dini hapa

Umesahau mchangiaje aliyemfananisha Yesu na nyani?Alafu tuwe makini kufungamanisha wazungu na Ukristu sema Christian culture sio hostile na hvyo kujikuta hawana mapambano makubwa na Wakristu.Wazungu wengi hawana dini na wanapingana karibia na mafundisho ya dini zote.
 
Hakuna nchi ya kuwapokea hao!
Wamekuambia wanataka kupokelewa wewe ndiyo una mawazo ya kusaidiwa sijui kupokelewa hawa jamaa kazi yao imeishamalizika ujumbe umefika na wapo tayari kufa.
 
RAfiki KK, mchana mwema naona sasa umeaanza kusrma maneno ya maana na kuna Point nzuri umeitambua!! hiyo ishara njema kwa dialogue za humu!! Sasa FYI, Amini au usiamani hawa wa FARANSA walikuwepo north Africa ( ALGR,TUNS,MORC) kwa muda wa miaka mingi..

ni hawa hawa walikuwa wa koloni huko North Afrika na kuwaLazimisha wananchi na raia kufuata desturi na thaqafa za kiFaransa hadi kubadilisha lugha ya ardhi (nchi) izungumzwe French !! Tafadhali soma Historiya utatambua ukweli !! kuna Kizazi(generation nzima) ina Bonga French na kusahau tradition zao !! Kindly welcome again...ujio msafii!!!

Pamoja na hayo, lakini ukienda nchi ya mwenzio kuwa na adabu, najua historia kubwa ya France na hao jamaa, lakini tumeona hawa jamaa wakienda nchi za watu wanataka desturi zao ziheshimiwe. Tumeona Australia na sehemu nyingi
 
Nilichokipenda kutoka kwa hawa jamaa wamewafuata wahusika wakuu ofisini kwao na wakafanya walichokusudia ni jambo la kujivunia.

Murder. Only in your religion you can boast when you murder.
 
Wauwaji inasemekana walipokimbilia eneo la viwanda, kabla ya kuingia ndani kujificha, walipeana mkono na Raia mmoja na kumwambia hawataki kuua raia wengine.
 
Polisi na wanajeshi si waingie ndani ya ilo jengo wawakamate wahusika.
 
mi nadhani hii dunia ili iwe salama lazima kupiga marufuku dini na imani zote.
Kila mtu dini na imani yake iwe ni siri mzito kabisa.

kwa kuanzia tubadili haya majina yetu yenye asili ya kikristo na kiislamu,maana yana element za kibaguzi.
 
Wamekuambia wanataka kupokelewa wewe ndiyo una mawazo ya kusaidiwa sijui kupokelewa hawa jamaa kazi yao imeishamalizika ujumbe umefika na wapo tayari kufa.

When you say God do you mean the made up freak that your Venerated baby raping, halucinatory, animal screwing , barbaric, unwashed, spittle bearded, jerk you call clergy "pbuh" prophet heard him preach about?

If they are ready to be expedited to hell, why are they running for their lives?
 
Leo tumeambiwa tusiweke dini humu
Anybody who would swallow that hateful pile of of murderous drek is either a sadist or inbred to the point of drooling and bed wetting. Those kids, are murderers.
 
Takriban 95% ya habari tawala ndani ya 24hrs ya kila siku , kutoka CNN kuanzia siku ya shambulio la Charlie Hobdo ni "Paris terror attack" .
Habari ambazo zinakuja live toka tukioni .

Kwa wale wafatiliaji wenzangu wa CNN nina imani mmeshaona mara kadhaa aonyeshwapo President , Francois Hollande akiingia/akitoka ofisini kwake pale nje ya mjengo mlangoni panakua na Askari wawili mmoja kushoto na mwingine kulia .

Askari hao wanaonekana wamevaa mfano wa uniform za kijadi , mithili ya Askari wa Mfalme hivi .
Mikononi wameshikilia kama upanga flani, na hawaonekani hata kutingishika , kujikuna , kuyumba .
Shortly hawaoneshi any movable symptoms .
Kwa wanaojua nauliza wale ni watu , au masanamu ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom