Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Ulaya wamekubali kukaribisha hawa wafia dini watakoma. Haya maandamano yanayofanywa ujerumani maana yake itakuja kujulikana too late

Mfia dini ni Yesu aliyefia dini msalabani ili wewe uendelee na ufisadi na uzinifu Kakende
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma huu...uzi....naona wengi wetu hatuna taarifa kabsa...or at least tunaelezea maoni yetu zaidi....lakin higher agenda zinaendelea...uislam na ukristo....hakuna dini inayoweza kujivuna kwamba haiwezi kumwaga damu kwa jina la dini....read the history..pengine tofauti na wakristo...waislamu ni wa wazi sana....wameweka mstari ambao ukiuvuka....lazma ujute....upande wa wakristo...wako very strategical...and systmatic katika kutekeleza agenda zao...mifano iko mingi sana....mfano.mkubwa kabsa...ni jinsi mainstream media inavoreport matukio ya liyofanywa na waislam na yale yanayofanywa na wakristo...at least mwenye akili anaweza kuuliza ....hiv mbona hatupewi uptodate za kenya inavotekeleza uvamiz wake kule somalia...je raia wa kawaida wanafanywa nn hasa?? Pako kimya kiasi kwamba unaweza fikiri wako kule wanagawa mtori...lakin hebu rudi rukio hili la leo...watu wanne kuuwawa hapo france....basi imekuwa issue sana....lakin tukumbuke kabsa...conflict zote hiz zina higher agenda ....after sometimea you come to learn.....just kama ambavyo tukio la sept 11 ....leo kuna ushahidi usiotia shaka kwamba ile ilikuwa inside job....na ni wamarekan wanaoijua marekan hasa ndo wanatoa msimamo huo....so tusiipe mitizamo ya kidini sana hizi conflict....
 
Mfia dini ni Yesu aliyefia dini msalabani ili wewe uendelee na ufisadi na uzinifu Kakende

Yesu hakuwa na dini wala hakuwahi kuutaja Ukristo, yeye alikuja kuleta ujumbe sahihi duniani. Mohammad mtume wenu ndie mfia dini maana kapigana vita sana hadi kumuoa mwanamke aitwae Saffiya baada ya kumkata mumewe kichwa. ISIS wanamuenzi, hakuna tofauti ukisoma Quran na Hadith za Mudy
 
Wanaweza kuwepo kwa sababu hata Mohammad aliingiwa na Shetani akaanzisha Uislam kwa damu na ubakaji juu
bilde.jpg
 
Hili Gazeti lilimchora Papa akiwa kavaa Kondom,pia wameliandama kanisa katolik miaka mingi lakini Yote tulimwachia Mungu. Lakini wale wa dini ya kuua watu ili waende mbinguni wameua watu
 
Wale wachora katuni za kumdhihaki Mtume wetu pale Paris wamepata walichokitafuta, uzuri wamepewa haki yao pale pale ofisini kwao.

Mbona wamedhihaki kanisa la Roma siku nyingi hadi kumchora papa akiwa kavaa kondom lakini hatukuwagusa?, kuna siri gani hadi wauawe na ninyi watu wa damu?
 
.......wewe ni mgonjwa, ndio maana hujui kama ukiristu ni dini au club ya mpira !.........mmemuua mungu wenu msalabani, na kwa kumkebehi mnamtundika majumbani mwenu !

Dini inakuja automatically wala hakuna haja ya kuiandika kwenye vitabu, nyie dini yenu imejaa propaganda kwa sababu shetani aliianzisha. Eti Uislam ni dini ya haku, majigambo ya nini?
 
Hili Gazeti lilimchora Papa akiwa kavaa Kondom,pia wameliandama kanisa katolik miaka mingi lakini Yote tulimwachia Mungu. Lakini wale wa dini ya kuua watu ili waende mbinguni wameua watu

Sisi Waislaam hatuna mzaha na Dini ya Mwenyezi Mungu ! Hiyo ndio gharama ya ujinga wao. Waliandika kitabu wakaita 'aya za shetani' aliye kiandika mpaka leo anaishi shimoni, na walio jaribu kutafsiri wote walishughulikiwa na hakuna mtu alijaribu kukiuza dukani kwake !
Nyie mlimfanyia Yesu mzaha akauawa msalabani huku mkiangalia !
 
Wednesday, Jan. 7, got clear away and are feared by French and other European security agencies to be seeking out more targets. They are on the loose with AK-47 assault guns, a supply of ammo, and possibly a grenade launcher. Another 10 people were injured, 5 critically.
France has raised its terror alert to its highest level as it launches a massive manhunt for three killers. Its European neighbors have also taken precautions.
This act of terror raised a whole new set of concerns. The gunmen conducted themselves in the calm, deliberate manner of trained professional soldiers, rather than crazed suicidal jihadis. Their combat experience was evident, whether from fighting in the Islamic State’s battles in Iraq and Syria or other Islamist arenas.
Three years ago, Charlie Hebdo ran cartoons lampooning the Prophet Muhammad and in the current New Year, poked fun at ISIS leader Abu Bakr al-Baghdadi.
French security authorities infer that the terrorists, dressed in black and masked, were gunning for predetermined targets from the fact that they carried lists and asked for their targets by name when they passed through the corridors of the magazine building. They then shot the journalists on their list with cold-blooded precision.
According to one unconfirmed report, the Charlie Hebdo editor and lead cartoonist were among the victims.
President Francois Hollande, who arrived on the scene within minutes, commented that “40 people were saved.” They were evidently saved because they did not appear on the gunmen’s death list.
debkafile’s counter-terror sources note that this attack was the first instance in the war of terror, that Islamists murdered Western journalists for their views on religion in the heart of a West European capital.
Shouting "Allahu Akhbar!" and “We have avenged the Prophet’s honor!” theyleft the building and sped past a police force in the street, shooting accurately at the windscreens of their vehicles. They then jumped into a black getaway car which stood waiting with open doors. A short while later, they stole another vehicle and switched cars.
The president called an emergency cabinet meeting shortly after the attack. Our sources note that although French security and intelligence services have maintained a high terror alert for the past month after a series of incidents against Jewish targets, they failed to predict or forestall one of the most spectacular Islamic attacks seen in Europe in recent years.
 
Dini inakuja automatically wala hakuna haja ya kuiandika kwenye vitabu, nyie dini yenu imejaa propaganda kwa sababu shetani aliianzisha. Eti Uislam ni dini ya haku, majigambo ya nini?

Mnabuni buni ujinga kujifariji ! kumbe ukiristu si dini ya yesu na wala hakuwahi kufundisha eeeh !?
Sisi Quran inatuambia Yesu alifundisha Uislaam.
 
Hili Gazeti lilimchora Papa akiwa kavaa Kondom,pia wameliandama kanisa katolik miaka mingi lakini Yote tulimwachia Mungu. Lakini wale wa dini ya kuua watu ili waende mbinguni wameua watu
Wewe si umesema Ukirsto siyo dini sasa utaringanishaje na dini ya Uislam.
 
KK, Kuwa mtu mwenye kutamakin (control emotion zako) FYI, kwa muislam aliye wa kweli na HAKI hawezi kuuficha Mapenzi yake/yetu kwa Mtume Muhammad SAW, wala hatuwezi mpotosha Mtume, kiongozi,Mwalimu wetu Muhammad SAW !!
Mwisilam hajifichi anakabiliana na chochote kinachohusu IMANI yake !! (hajali mali wala uhai wala urembo wa dunia) !!

Japo mnajaribu sana kutukejeli, kuktutukan kutuProvok, nk, na mengi yasiyo na faida NOTHING YOU CAN CHANGE au hata wakuu wa NCHI zote Duniani wakipandikiza chuki au wakitupaka matope siye Msimamo wetu hautatereka au kubadilika juu ya Mafunzo ya L habibu Muhammad SAW. (period)

Back to the Topic:- Al-Baghdadi hakujificha, alijitangaza openly na kwa kupituia viombo vya habari vyote uvijuavyo !! AU NIKUTAJIE ?!! Na kama urtetezi wa L Habibu Muhammad mbona waiSilamu wote tuna mtetea full time.... nijambo la kawaida kwetu bila nong'wa wa staha, tupo wazi kbs.!!
Ndugu KK, wewe badilisha mtazamo unaoshadidia mara kwa mara na utazame HAKI na UKWELI inapohitajika. Imani yako mwenyewe ina simama justice !!

Mwafrika mwingine aliyechukuliwa utumwa kupitia dini. Anatokwa povu wakati vijana wa kiarabu wanatoroka huko kwao kuikimbia hii dini
 
Mbona wamedhihaki kanisa la Roma siku nyingi hadi kumchora papa akiwa kavaa kondom lakini hatukuwagusa?, kuna siri gani hadi wauawe na ninyi watu wa damu?
Kwani Ukirsto ni dini?
 
Mwafrika mwingine aliyechukuliwa utumwa kupitia dini. Anatokwa povu wakati vijana wa kiarabu wanatoroka huko kwao kuikimbia hii dini
Ahsante... Mie na wewe watumwa jadi, Lakini na wadhungu wanatoroka kwao, Na wanao kufa baharini wanaenda kutalii ?!
 
Innocent people went to their work, only to be killed by radical muhammadans. It's everywhere, and we need to stop this!
Wale watoto wa Afghanistan, Iraq, Libya, Gazza, waliokuwa wanadondoshewa mabomu na kufa walikuwa na hatia gani?
 
Mbona wamedhihaki kanisa la Roma siku nyingi hadi kumchora papa akiwa kavaa kondom lakini hatukuwagusa?, kuna siri gani hadi wauawe na ninyi watu wa damu?

Bloody coward galatians !.......kusemwa mungu ana mwana peke yake ni kioja na mzaha mkubwa !
 
Mwafrika mwingine aliyechukuliwa utumwa kupitia dini. Anatokwa povu wakati vijana wa kiarabu wanatoroka huko kwao kuikimbia hii dini

Sisi tunachokijua ni serikali za Ulaya zinahangaika kuzuia vijana wao wasijiunge na ISIS !..........wanawaponyoka kila siku na kujiunga na Jihad !
 
Waislamu Bwana sijui wakoje,wamepewa maisha mazuri France,bado wanawauwa Wafaransa,Wafaransa waache kuwapa permits hawa wauaji waarabu,Waarabu wanaiharibu France
 
Dini inakuja automatically wala hakuna haja ya kuiandika kwenye vitabu, nyie dini yenu imejaa propaganda kwa sababu shetani aliianzisha. Eti Uislam ni dini ya haku, majigambo ya nini?

Lol.

Teh teh.

Eti dini inakuja automatically hakuna haja ya kuandika kwenye vitabu??

Kumbe ndiyo maaana mnabadilisha vitabu vyenu kisha mnaoana midume kwa midume??

Kweli wakolosai mmevurugwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom