Mhabarishaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2010
- 1,007
- 601
Chochea kuni, chochea kuni, chochea moto wa mafarakano katika Chama Cha Mizigo kilichowatesa Watanzania kwa miaka 52. Kizolewe na mafuriko ya ukombozi mamboleo, na kutupwa kulee kama daraja la Dumila lilivyozolewa na mafuriko.
