Guninita aitaka CCM imdhibiti Nape

Guninita aitaka CCM imdhibiti Nape

Guninita ndiyo nani hapa tanzania huyu ni msemaji wa kikundi cha ngoma gani.

Leo hii haumjui kijana aliyeongoza wenziwe UVCCM kumpigia kampeni Lowasa ateuliwe awe mgombea urais 1995 na mwenyekiti wa zamani wa CCM Dar es Salaam.
 
Kwanini amekitaka chama kimuhukumu Nape wakati walikuwa wana puliza vuvuzela na Katibu Mkuu wao Kinana!!?
I smell something fishy!
 
Ndugu yangu simiyu,hata lini utaacha kuwa mjinga?jana nilikushauri badilika ccm siyo chama,ni kundi fulani la watu walio tayari kwa lolote hata kuua kwa ajili ya maslahi yao,si kwa ajili ya watz,badilika acha huo ushabiki mjinga wewe

Abadili! Atakula wapi? Wewe unataka familia yake ife njaa? Huyo jamaa ni mganga njaa tu huko. Anaishi kwa kuwasifia viongozi wa ccm ili apate ujira wake. Akiacha tu, njaa imetinga home kwake.
 
Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam,Guninita,aimeitaka CCM imdhibiti Nape Nauye kwa kukiuka maadili ya chama,na kuropoka majukwaani akiita wenzie mizigo!Chanzo Gazeti Majira uk.3

Huyu Guninita ni kamanda mwaminifu wa Lowassa hana jipya.
 
Guninita ni kibaraka wa Lowasa. Ni wajibu wake kusema hayo

Lowassa mnamsakama sababu katoka KASKAZINI tu!Why pro CCM hampendi kabisa watu wa KASKAZINI?

Juzi Kagasheki katangaza wazi kama atagombea Bukoba mjini 2015 mbona hamjamkemea?
 
Ukisikia watu wanapiga kelele zisizokuwa na hoja mbadala, hiyo huwa ni dalili ya kupatwa na maumivu ya hoja.

Hiyu Mzee wetu ni mmoja kati ya kundi ambalo limeathirika na mageuzi ndani ya chama. Huyu siyo wa mwisho, Muda siyo mrefu watajitokeza na wengine kwa sababu CCM ni chama kinachokubali wanachama wake kutofautiana na kupingana bila kupigana.
 
Lowassa mnamsakama sababu katoka KASKAZINI tu!Why pro CCM hampendi kabisa watu wa KASKAZINI?

Juzi Kagasheki katangaza wazi kama atagombea Bukoba mjini 2015 mbona hamjamkemea?
Kaskazini ndiyo wapi?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom