Home kwangu ilikuwa 2009-2010 bad enough nikadharau nikazoa na kutupa ila hapa karibuni nilihudhuria ibada ya Morning glory kwa Mch Kimaro aliongelea those things ndio nikafumbuka macho kuwa they do exist?kwakweli ni ushenzi na kurudishana nyuma hlf utakuta aliyefanya hivyo hajanufaika chochote kiuchumi.Mungu wangu ilikuwa wapi na lini? If you can share.. Please!!!
Poleni sana..!!!Mimi imenitokea hiyo mwaka huu tu. Nilimfungulia wife biashara. Kwa miaka mi 4 imeenda vizuri sana japo vitu vya ajabu ajabu tulikua tunaona na kupuuza tu (maiti za kunguru kwenye pande 4 za eneo nakadhalika) ila mwezi wa kwanza tukaanza kuona vinyesi mlangoni. Wakifagia baada ya siku 2 tunakuta tena. Biashara haikuchukua miezi mi4 tumefunga pamoja na kuwa wabishi hatari.
Sema aliyefanya namjua.
Niishie hapo.
Naomba nifafanue kidogo hapa kuhusu huo ushirikina
1.kinyesi kinachopakazwa kwenye kuta lengo lake ni kuitia nyumba gundu ujenzi usiendelee
2. Kile cha Kuwekwa getini au mlangoni aidha kinamlenga atakayeanza kutoka au mlengwa aliyetajwa kwa jina kwenye huo ushirikina
Kumbuka mada ya malango na ile ya nafsi katika utambulisho
kinachomwaje kikiwa kibichi mkuu?Kichome kwanza mpaka kiwe jivu ndio ukizoe
okKinaungua kwa mafuta na uchafu mkavu
Soon ntakua na mifugo mingi nataka ninunuee zaidi ya kondoo mi4 niendee nao kijijini kufuga ila nataka nipate dawa ya kulinda (mali) mifugo mtu asije iangalia vibaya ikafa ama kuichawiaa ikadhoofikaa nifanyeje boss wangu...Mali izidi kudumu isiteteleke kichawi...Kinaungua kwa mafuta na uchafu mkavu
Para zile dawa za kimasai tuu..nyingine utapigwaSoon ntakua na mifugo mingi nataka ninunuee zaidi ya kondoo mi4 niendee nao kijijini kufuga ila nataka nipate dawa ya kulinda (mali) mifugo mtu asije iangalia vibaya ikafa ama kuichawiaa ikadhoofikaa nifanyeje boss wangu...Mali izidi kudumu isiteteleke kichawi...
Sawa ahsantePara zile dawa za kimasai tuu..nyingine utapigwa
nimekuta kwangu kama hicho chini ya mti karibia na geti. nimekitia moto, chumvi ya mawe + zaburi ya 59
Sawasawanimekuta kwangu kama hicho chini ya mti karibia na geti. nimekitia moto, chumvi ya mawe + zaburi ya 59