Gundu la kinyesi

Hiyo picha !! Ameliumba kama tonge la ugali, hivi anapeleka wapi ? Au ni mazoezi ? Ujuzi wa kufinyanga kautoa wapi ? Mara nyingi nakutana nao nabaki kushangaa kazi ya mola. Hongera mtoa hoja . Biashara yako ikitiwa kimavi umekwisha, watu wataona fremu yako kama choo cha shimo kisichofanyiwa usafi.
 
Hawa jamaa hicho ni chakula chao.. Kuviringa ni kurahisisha kukisafirisha mpaka sehemu salama ...! Ole wako ujaribu kumpora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari bila picha ni sawa na mboga bila viungo vyote lakini mmh kwa habari hii picha zake zinaweza kuchafua hali ya hewa basi walau ngoja niweke hiiView attachment 359183
Mkuu umenikumbusha kipindi nipo darasa la sita, mwalimu wetu wa kiswahili alikua akiingia tu darasani baada ya salamu alikua akifuatisha na methali hizi"Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...anaendelea, ganda la muwa la janaaa? twamjibu Chungu kaona kivuno". Baada ya hapo ndio somo linaanza rasmi.
 
Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...
 
Teh teh teh hiyo methali ya Zumbukulaa ina maana gani Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zumbukulaaa? Na sie twamjibu, kimkundumkundu...
huyo bwana alikua Mwalimu wa michezo, alipenda sana mzaha na hasa ikizingatiwa kipindi hicho sheria mashuleni zilikuwa bado hazija changamka, angaweza kimwangalia mwanafunzi aliejazia makalio kisha akambeza"kikundu kama kijungu cha uketooo; na kinachofuatia hapo nikicheko.
 
Huyu alikuwa mende
 
kamata hiko kinyesi weka majivu uone ka ajaja kwako kukuomba msamaha kwa muwasho atakaoupata huko kunduchi
 
kuna tofauti kati "Gundu la kinyesi" na "Damu ya kunguni"?
 
kuna tofauti kati "Gundu la kinyesi" na "Damu ya kunguni"?
Damu ya kunguni ni kuchukiwa na watu lakini mambo yako yanaenda.. Gundu la kinyesi kila unachoshika hakiendi mwisho unaishia kuchukiwa
 
Nilimfungulia wife biashara soon baada ya ndoa maana alikuwa bado mwanachuo kwakweli ilichanganya mpk mm nikajiuliza nilichelewa wapi kufanya hiyo kitu kabla,but all in sudden one beautiful morning tukakuta kimba la haja la mtu mzima usawa wa frame tunayofanyia biashara yaani nakuhakikishia hazikupita hata miezi 2 tukawa tayari tumefunga.
 
Mungu wangu ilikuwa wapi na lini? If you can share.. Please!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…