DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,416
Sio bureNaendelea kusoma comments
UTakua Unafanya sensa ya walevi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio bureNaendelea kusoma comments

Hujaizoea tu!Chungu hivyo
😂😂 Kaeni kwa kutulia..
😂😂😂😂Bado sijachongesha funguoUle mlango jmn
😂😂Wacha weeehNinamkubali sana nakuahidi hutojuta huyu totoo
Nimepumzika kwa muda comrade...😊Uliokoka lini Amigo?
😂😂😂😂 Kaka nimecheka Sana aisee....Mimi mbona tayari jamaniKama bado haujaoa napokea mahari kaka mtu.kabila letu hatunaga makuu,kina prof j.watu wa watu
Kitaalamu wanaita detox yaani unaruhusu iliyo mwilini tike. I can only detox for a week Amigo.Nimepumzika kwa muda comrade...😊
Comred, It's too good to be true....☺Kitaalamu wanaita detox yaani unaruhusu iliyo mwilini tike. I can only detox for a week Amigo.
Namaanisha totooWacha weeeh
Mungu anakuonaBado sijachongesha funguo
Wewe unayekunywa soda na anayekunywa pombe au madawa ya kulevya tofauti yenu iko wapi?Siijui..sijawahi kunywa chochote zaidi ya maji..juice or soda
HapanaBia inaleta gozigozi hiyo.
Ulishajaribu serengeti lite?
Kuka Serengeti moja 1500 na haileti mning'inio...achana na mambo mengine.
Foreign extra stout hii ni kibokoHaina uchungu kabisa wa ile Guinness nyingine?
Foreign extra stoutIle konki yake sitaki hata kuisikia ilicho nifanya basi tu ila ulevi siachi!