share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,063
- 10,476
Kapime BP. Utakuja kunishukuru.Hii bia ni taam kweli kweli wakuu sijui imechanganywa na niniView attachment 2155775
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kapime BP. Utakuja kunishukuru.Hii bia ni taam kweli kweli wakuu sijui imechanganywa na niniView attachment 2155775
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Imeshaanza kukulevya!Aisifuye mvua,imemfulia nguo zake.Si kwa sifa na shukrani hizo.Hii bia ni taam kweli kweli wakuu sijui imechanganywa na niniView attachment 2155775
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Stendi ya Magufuli mkuu😅 naishi nae tu sahiziAlishukia stendi gani
Caffeine haikufai.Usinywe hata energy drinks.Nilikunywa nikajisikia vibaya sana. Hali kama hiyo ilinipata nilipokunywa alkasus, kahawa na majani ya fulani ya chai yapo kwenye kopo.
Kwa sasa najipigia tu safari kubwa.
Hahahahahah unaitaje flying fish ndimu mkuu😂😂😂Kweli kabisa kuna siku nilijaribu flying fishing ile ndimu aisee haina taste ya bia kabisa
Bia chungu hapana😅 hio bia baada ya kuionja nilitransfer kutoka serengeti lite sahizi ndio bia nayoipenda zaidi japo haipatikani bar nyingi na bei huwa wanaweka tofauti ila ni kabia flani amazingUle uchungu wa ile nyingine(foreign extra stout) ndo kitu napenda sasa, hii naiona kama grand malt
Kumbe mimi wa juzi.Ule uchungu ndiyo sawa kwangu.CMS(Castle Milk Stout unachanganya na Valuer!Mbona utaimba kilugha.Bia chungu hapana😅 hio bia baada ya kuionja nilitransfer kutoka serengeti lite sahizi ndio bia nayoipenda zaidi japo haipatikani bar nyingi na bei huwa wanaweka tofauti ila ni kabia flani amazing
Hii ni mbaya sana bora ile ya zamani (nyeusi)
Ushaonja ile Original yake? Hiyo smooth utaiona uchafu tuBia chungu hapana😅 hio bia baada ya kuionja nilitransfer kutoka serengeti lite sahizi ndio bia nayoipenda zaidi japo haipatikani bar nyingi na bei huwa wanaweka tofauti ila ni kabia flani amazing
ThanxChanganya na Pepsi au coca inakua nzuri sana
Ha haaa wewe una matatizo mengineAsante,nikiiona tu natapika
Naona hadi wanaimba bia tamHakuna beer chungu duniani
Kuna siku nilichangana na valuu asubuhi nilijutaHa haaa wewe una matatizo mengine
Aisee hivi uliwaza nini kufanya hivyo? 😀Kuna siku nilichangana na valuu asubuhi nilijuta
Nilitaka kujilipua niwake moto mwisho wa siku nikazima😁😁Aisee hivi uliwaza nini kufanya hivyo? 😀
Ndio maana bwana! Kuna siku walikuwa wanauza za promosheni nikanunua za 10,000. Nilipoanza kunywa ya kwanza ubongo ukashituka kwamba hiki ni moja ya vitu ambavyo havikufai, nikajiuliza mbona sijawahi kunywa!Caffeine haikufai.Usinywe hata energy drinks.
Usinywe tena muheshimiwa.Wengine hivyo vinywaji vyenye caffeine hupandisha au kushusha sana mapigo ya moyo na mwili kukosa ushirikiano kabisa.Ndio maana bwana! Kuna siku walikuwa wanauza za promosheni nikanunua za 10,000. Nilipoanza kunywa ya kwanza ubongo ukashituka kwamba hiki ni moja ya vitu ambavyo havikufai, nikajiuliza mbona sijawahi kunywa!
Baada ya dakika 20 tu nikaanza kujisikia vibaya, bia nyingine nikagawa zote.
Bora umeniambia bwana! Sema mimi nikavipuuzia tu bila kufatilia chanzo cha tatizo baada ya kuona najisikia vibaya nikinywa.Usinywe tena muheshimiwa.Wengine hivyo vinywaji vyenye caffeine hupandisha au kushusha sana mapigo ya moyo na mwili kukosa ushirikiano kabisa.
Hipo mbna hyo viwanja vingi tuLipia tangazo! Alf nipo mbeya uku naipataje