Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,247
Changanya na Pepsi au coca inakua nzuri sanaChungu hivyo
Changanya na Pepsi au coca inakua nzuri sanaChungu hivyo
Hapo unajiona msafi wa mwili hadi basiSiijui..sijawahi kunywa chochote zaidi ya maji..juice or soda
😃😃 Me huwa nakunywaga ile stout, nilishawahi jaribu hii Lakini ikanishinda.
Ina ladha gani Hii?Me huwa nakunywaga ile stout, nilishawahi jaribu hii Lakini ikanishinda.
Ni tamu tu, kama unakunywa Flying fish au Fanta orange.
Mkuu shem mma la mama, Mama J hajambo?

Wapi nimeandika hivyo mpendwa?Hapo unajiona msafi wa mwili hadi basi
Sijasema umeandika... mi ndo nimefikiri hivyo. Asante.Wapi nimeandika hivyo mpendwa?
Mkuu acha ukorofi basi?Sijasema umeandika... mi ndo nimefikiri hivyo. Asante.
Hahaha kasema mlevi mmoja hivi;Unakunywa soda iliyochangamka na unaiita beer...pathetic
Kweli kabisa kuna siku nilijaribu flying fishing ile ndimu aisee haina taste ya bia kabisaMimi naiona miyeyusho tuu kama unakinywa grand malt
Sawa na serengeti lite ila kili lite imepoa sanaKilimanjaro lite nayo vipi?
Hii ina ile taste ya uchungu na nzito kidogo ila zile imported zilikuwa poa sana kuliko hizi wanazofyatu wahindi wa serengeti
Kuliko Mlima Mrefu nope aiseeHii bia ni taam kweli kweli wakuu sijui imechanganywa na niniView attachment 2155775
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Alcohol volume yake ni ngapiHii bia ni taam kweli kweli wakuu sijui imechanganywa na niniView attachment 2155775
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app