Guinness Smooth hii Bia tam!!

Guinness Smooth hii Bia tam!!

Nilikunywa nikajisikia vibaya sana. Hali kama hiyo ilinipata nilipokunywa alkasus, kahawa na majani ya fulani ya chai yapo kwenye kopo.
Kwa sasa najipigia tu safari kubwa.
👏👏👏Mimi nimeacha alkasus kwa sababu hiyo. Alkasus nyingi wanachanganya sana
 
Back
Top Bottom