uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,451
Haha hiyo kitu tamu ,zaidi ya Heineken basi tu mjini hazipo
Haha hiyo kitu tamu ,zaidi ya Heineken basi tu mjini hazipo
Umeokoka kama mimi?Sitaki kujaribu chochote mpendwa
Duuh wewe utaenda mbinguni...haya wahiHapo kwenye zawadi..kiatu

😂😂Hata sijaokokaUmeokoka kama mimi?
😂😂😂😂Duuh wewe utaenda mbinguni...haya wahi![]()
Na usizajaribu dada yangu .acha kaka zako tukomae nazo tu wakunyumba🤣🤣 Kaka..utoto wa mjini lazima unywe pombe..??!!mimi sii mtumiaji hata kidogo
Eh, basi umeokolewa kama hujaokoka. Endelea kuwa sober pombe sio juice😂😂Hata sijaokoka
Jf sijawahi kuona active member mwenye tabia nzuri kama ya huyu dada.
Amina
Jamani.. nashukuru Sana mpendwa.Jf sijawahi kuona active member mwenye tabia nzuri kama ya huyu dada.
Huwezi kukuta post ya kuudhi au kuvunjia mtu heshima.
Kweli unanivutia hadi napata deni.
Wewe ubarikiwe zaidi.Jamani.. nashukuru Sana mpendwa.
Ubarikiwe![]()
AmenWewe ubarikiwe zaidi.
Japo hunitendei haki
Ule mlango jmnAmen
Haki ipi tena mpendwa wangu
Kama bado haujaoa napokea mahari kaka mtu.kabila letu hatunaga makuu,kina prof j.watu wa watuJf sijawahi kuona active member mwenye tabia nzuri kama ya huyu dada.
Huwezi kukuta post ya kuudhi au kuvunjia mtu heshima.
Kweli unanivutia hadi napata deni.
Hakuna beer chungu dunianiChungu hivyo
Asante,nikiiona tu natapikaChungu hivyo
Uliokoka lini Amigo?Dahhhhh....
Mungu azidi kuniongoza vyema nisirejee pombeni