Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,576
Hii bia ni taam kweli kweli wakuu sijui imechanganywa na nini
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nasikia mwaka huu umeokoka[emoji16]Hio bia tamu sana nimeinywa sana last year
Nimempokea Yesu mkuuNasikia mwaka huu umeokoka[emoji16]
Hii kitu ina utam wa aina yakeHaina uchungu kabisa wa ile Guinness nyingine?
Haha mambo ya serengeti nyeusiUkikata gogo asubuhi jeusii hii,ila katamu
Amina[emoji28]Nimempokea Yesu mkuu
SanaaaUkitoka hapo unaenda pigwa miti yakutosha.
Miti mema
Ladha yake kama kumbusu Mwanamke
Usifananishe mbususu na vitu vya ajabu mkuuLadha yake kama kumbusu Mwanamke