Ngiyemenya
Member
- Aug 11, 2016
- 67
- 32
ndio una ruhusiwaaWakuu nauliza kama nilisha apply mwezi wa tano, naruhusiwa Ku edit??!
ndio una ruhusiwaaWakuu nauliza kama nilisha apply mwezi wa tano, naruhusiwa Ku edit??!
hiyo text isikutishe futa then unachagua unachagua upya mm mwenyew Jana nmefuta na nmechagua upyaMkuu naona kuna Hii View attachment 382733nataka nifanye machaguzi upya, ila kuna hiyo txt inakuja apo. Sasa inanipa wasi wasi kidogo ..mimi nili apply mwezi wa tano mkuu.
Sasa wewe hayo ma xxxxx ndio niniAcha kuwakatisha madogo tamaa nawewe na hizo X zako...usomi gani huo?xaxa ndio nini!!!
Nliona kuna watu wanaedit machaguo yaomazungumzo yanaendelea kati ya tcu na nacte
ahaa poa poa mkuu ..ngoja na Mimi ni edithiyo text isikutishe futa then unachagua unachagua upya mm mwenyew Jana nmefuta na nmechagua upya
Yani uwe na AAAAA,BBBBBB YA kumwaga yani kwa A-level kama 1:7
samahani!usifananishe 1.7 ya A-level na mambo ya kipumbavu,Yani uwe na AAAAA,BBBBBB YA kumwaga yani kwa A-level kama 1:7
haupo sahihi,inachukuliwa annual gpa ya mwaka wa mwisho,,,sababu kwa vyuo vingine mwaka wa kwanza na wapili max gpa huwa ni 4 badala ya 5Hilo Sina Uhakika Nalo, Lakini Chuo Nilichosoma Mimi Diploma Huwa Kuna OVERALL GPA ambayo Ni Average GPA kwa Semista Zote 6.
Sasa Nadhani TCU wanachukua Hii Average GPA kwa Semista Zote Ulizosoma.
Ukisema Wanachukua Semista Ya Mwisho Huenda ikawa hivi:-
1) Semista Zote Za Mwanzo GPA yako ni 2.2 to 2.6, Lakini Semista Ya Mwisho ukakutana na Favourable Condition Na Ukagonga GPA ya 3.6! Kweli TCU ndiyo Wakuchukue??
Au
2) Semista Zoko Zote Za Mwanzo Ulikuwa Ukipiga GPA ya 4.2 to 4.6, Lakini Semista Ya Mwisho Ukapatwa Da Family/Health Problems Ukaibuka Na GPA ya 3.1! Ndiyo Kweli TCU wakuache??
Nadhani TCU wakiwa Wanachukuwa Semista ya Mwisho itabidi Staff Wa TCU wote Kwanza Wakafanye Mtihani wa RPL.
Education???? afute kwenye akili yakeSamahani wana jf.
Dada yangu kamaliza ordinary diploma in records management na kupata GPA ya 4.1
Anataka kusoma degree ya education.
Je inawezekana au itabidi aendelee na records tu huko degree
Unadhani kupata A, B+, na B za kumwaga ni jambo rahisj? Acha habari zako mkui. Ni sawa na kusema kila mwanafunzi wa A-level alazimike kipata divisheni one ili aende chuo kikuu...si jambo rahisi kama unavyidhani.
Sasa wewe hayo ma xxxxx ndio nini
"end justifies the means" hata km walitumia mbinu mbovu washapita so ww angalia maisha yako...sijawah soma private ila sitalalamika kwa hzo mambo maana najua ntakutana nao uraian na ktk soko la ajila