Guide Book ya Diploma kwenda Degree imetoka

SIKU ZOTE ALIESHIBA HAMKUMBUKI MWENYE NJAAA...........NA KUTANGULIA IO KUFIKA SIONI HAJA YA KUWATUPIA MANENO MABAYA WALIOKOSA HIYO 3.5 WANGAPI WALIKUWA WANAHAO SANA CLASS NA WAMEKOSA SO HIZI NI SITUATION TU BUT GUYS MI HUWA NAAMINI CHANGAMOTO NI SEHEMU YA MAFANIKIO
hahahaaa Bizzmc bizzdaddy, upo kijana vipi shuguli zako za it zinaenda?
 
si mlikuwa mnataka mabalidiko? sasa ndo haya mabrother men na masister duh! ndo kazzi yenu kushinda mitaani na kulala katika kumbi za starehe wakati wanaojitambua walikuwa wanapiga msuli xaxa ndalichako naye kaja na yake mnaanza kudifance tena naona GPA ya 3.5 ni ndogo xana wangeweka hata 4.0 kuendelea ndo mngefatilia maxomo....
mtazamo tu tuuctafutane jamani coz mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
Xaxa= sasa.
 
GPA 3.5 kuipata ni maamuzi yako tu si rahisi wala si kazi kubwa kwenye diploma.
kila somo upate B, B, ZA Kutosha na B+ B+ za kkutosha pamoja A, A, A Za kutosha.
Unadhani kupata A, B+, na B za kumwaga ni jambo rahisj? Acha habari zako mkui. Ni sawa na kusema kila mwanafunzi wa A-level alazimike kipata divisheni one ili aende chuo kikuu...si jambo rahisi kama unavyidhani.
 
si mlikuwa mnataka mabalidiko? sasa ndo haya mabrother men na masister duh! ndo kazzi yenu kushinda mitaani na kulala katika kumbi za starehe wakati wanaojitambua walikuwa wanapiga msuli xaxa ndalichako naye kaja na yake mnaanza kudifance tena naona GPA ya 3.5 ni ndogo xana wangeweka hata 4.0 kuendelea ndo mngefatilia maxomo....
mtazamo tu tuuctafutane jamani coz mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
Tatizo lako hujui uchungu wa elimu nahisi hata hizo gpa huzijui kwa mtu mwene elimu hawezi kuongea hivo eti 4.0 ndo nyie mlikua mkipata vi C flat kisa huko nyuma hamkukaziwa basi wenzenu mtakaa kuwasema.
 
daaaaah ndugu zangu wa D.I.T hili ni janga kubwa sana!!, tatizo wanaopiga majungu wenzao kutofika 3.5 ukiwaachunguza sana either wanatoka vyuo flani flani, au hawajasoma kabisa wanachojua wao ni kwamba wanafunzi ni watu wa starehe tu!,
Inawezakana wameshamaliza au hawana mpango wa kuendelea.
 
si mlikuwa mnataka mabalidiko? sasa ndo haya mabrother men na masister duh! ndo kazzi yenu kushinda mitaani na kulala katika kumbi za starehe wakati wanaojitambua walikuwa wanapiga msuli xaxa ndalichako naye kaja na yake mnaanza kudifance tena naona GPA ya 3.5 ni ndogo xana wangeweka hata 4.0 kuendelea ndo mngefatilia maxomo....
mtazamo tu tuuctafutane jamani coz mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
ndugu licha yakuwepo hizo starehe usipende kuongea kiujumla nani kakwambia kila ambae ajafikisha iyo gpa alikuwa anafanya starehe mtihani sio kama unavyo fikiri wewe unaweza soma afu mtihani ukaja pengine kabisa isitoshe kufail mtihani sio maisha unaweza kuwa na degree ata kumi ukaishia kaa mtaani bila ajira ila yule uliyemzarau kaisha jijenga na ana maisha mazuri hakuna bora zaidi ya mwingine ni nafasi tu
 
daaaaah ndugu zangu wa D.I.T hili ni janga kubwa sana!!, tatizo wanaopiga majungu wenzao kutofika 3.5 ukiwaachunguza sana either wanatoka vyuo flani flani, au hawajasoma kabisa wanachojua wao ni kwamba wanafunzi ni watu wa starehe tu!,

Sahihi Mkuu! Tena Wengine ni Makada Wa CCM Ndiomaana Huleta Dharau Kwa Diploma Holders ikiwa ni Miongoni Mwa Harakati Zao Za Kuunga Mkono Kila Linalofanywa Na Serikali Hata Kama Haitendi Haki.

Wengine Ni Wale Waliopita Private Schools Wakapata 1 & 2 za Mezani Ndiyo Wanatufanyia Kiburi.
 
si mlikuwa mnataka mabalidiko? sasa ndo haya mabrother men na masister duh! ndo kazzi yenu kushinda mitaani na kulala katika kumbi za starehe wakati wanaojitambua walikuwa wanapiga msuli xaxa ndalichako naye kaja na yake mnaanza kudifance tena naona GPA ya 3.5 ni ndogo xana wangeweka hata 4.0 kuendelea ndo mngefatilia maxomo....
mtazamo tu tuuctafutane jamani coz mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
Acha kuwakatisha madogo tamaa nawewe na hizo X zako...usomi gani huo?xaxa ndio nini!!!
 
Dah Mkuu! Tena Kwa sisi Kozi Za Afya Ndiyo Wametubana Hasaaa Wametuekea Vijinafasi Kama
Wamelazimishwa Vile..
Kila mwaka ndo nafasi wanazotenga ila huwa wanaongeza kwa baadhi ya vyuo kama idadi ya wenye sifa ikiwa kubwa
 
Jamn naombeni msaada hivi hiyo 3.5 inapatikanaje kwa mwaka WA mwisho tuu au miaka yote uliyosoma diploma
 
dahhh yan kuna wengine wanajua kusema tyu inabd na wao waende darasani nd watajua ni nyepesi au ngumu kupata hizo grade dah....eee MOLA tuokoe na hili pito...
 
jamani hivi hili jahazi letu la elimu nahodha wake yuko sawa kweli?au kwa vile majini hakuna tochi maana nahodha ana spidi ya ndege!!!
 
Back
Top Bottom