Guide Book ya Diploma kwenda Degree imetoka

Guide Book ya Diploma kwenda Degree imetoka

Screenshot_2016-08-16-19-20-11.png Wakuu vip hapa, naruhusiwa kufuta na kuchagua upya?
 
Mtu anaejielewa hawezi kumwita mwenzie ****** kisa hana gpa ya 3.5 kuna watu faculties wanazosomea ni vigumu sana kupata hiyo 3.5. Ila wengine wanawakatisha tamaa kusoma sio kufanikiwa kimaisha.
Kusema kweli nawaonea huruma watu wa clinical medicine gpa 3.5 ni mtihani!
 
Msaada kwa hapa wazee,kwa mwenye guide book anichekie hii kama itasuit kwa eguivalent qualification to degree programme.

1.Grade A,Teaching certificate with 3.8 gpa.
2.Form 6 results,2016 combination HKL=SCF gpa=3.5
Nawasilisha.
 
GPA huwa inachukuliwa kwa mitihani yote uliyofanya ulipokuwa chuoni NA huonyeshwa kwenye academic transcript yako. Hivyo ni wastani wa semister zote! It is a very fair indicator!
acha kupotosha umma kaka, GPA ya mwaka wa pili wa diploma (second year) ndo inayoangaliwa na sio GPA ya miaka yote miwili ya diploma.
overall GPA unayozungumzia ni kwa BACHELOR students, wao ndo wanaangaliwa performance yao ya miaka yote yani mwaka wa kwanza hadi wa tatu.
 
Wakuu iko hivi; Kwa mtu anaesoma diploma katika mtindo wa NTA Levels wanakuwa awarded certificate kila mwaka kama unakihitaji unaenda kulipia unapewa ndiyo maana mtu akidisco mwaka wa pili anakuwa awarded chet cha NTA level 4 ambayo inaitwa basic technician level 4. Kwa hiyo Ordinaly diploma ni mwaka wa mwisho na GPA inayohesabiwa ni ile average ya semister mbili za mwaka wa mwisho na ndiyo inayotumika kuomba degree. Ila kama ni non-NTA level wanschukua total GPA za semister zote sita. Nadhan nimeelewwka wakuu
Amen, umeeleweka mzazi.
 
acha kupotosha umma kaka, GPA ya mwaka wa pili wa diploma (second year) ndo inayoangaliwa na sio GPA ya miaka yote miwili ya diploma.
overall GPA unayozungumzia ni kwa BACHELOR students, wao ndo wanaangaliwa performance yao ya miaka yote yani mwaka wa kwanza hadi wa tatu.
pole mkuu, wanaangalia overall ya 2yrs
 
Cyo kweli mkuu only second year a.ka nta level 6
mkuu kuna transcript ya ndugu yangu alimaliza chuo cha uhasibu 2010, ina semister4 kwa miaka miwili. mwaka wa kwanza semista2, na mwaka wa2 semister2. nilivyoichunguza kila semista ina masomo4, kwa hyo kwa miaka2 jumla ya masomo ni16 na field report inakuwa17. point zake ni 61 kwa miaka yote. wamechukua 61/17 na wamemwandikia gpa ya 3.5 upper second class . na mwaka wa kwanza alikula vikalai vingi pamoja na A, Mwaka Wapili Alipga Mabanda Na Na B+ nyingi. sasa ingikuwa mwk wapili pekee angekuwa na gpa zaidi ya 4.7
 
mkuu kuna transcript ya ndugu yangu alimaliza chuo cha uhasibu 2010, ina semister4 kwa miaka miwili. mwaka wa kwanza semista2, na mwaka wa2 semister2. nilivyoichunguza kila semista ina masomo4, kwa hyo kwa miaka2 jumla ya masomo ni16 na field report inakuwa17. point zake ni 61 kwa miaka yote. wamechukua 61/17 na wamemwandikia gpa ya 3.5 net. na mwaka wa kwanza alikula vikalai vingi pamoja na A, Mwaka Wapili Alipga Mabanda Na Na B+ nyingi. sasa ingikuwa mwk wapili pekee angekuwa na gpa zaidi ya 4.7
Mkuu tusibishane sana angalia hapo
 

Attachments

  • 1471378866286.jpg
    1471378866286.jpg
    21.7 KB · Views: 102
  • 1471378934410.jpg
    1471378934410.jpg
    35.3 KB · Views: 101
Mkuu Kwani Diploma Ni Miaka 2?? Mbona Mimi Nimesoma ORDINARY DIPLOMA MIAKA 3??
acha kupotosha umma kaka, GPA ya mwaka wa pili wa diploma (second year) ndo inayoangaliwa na sio GPA ya miaka yote miwili ya diploma.

Hapa Tatizo Letu Sote inaonesha Hatuna Uwelewa Wa Hili Neno NTA LEVELS
Cyo kweli mkuu only second year a.ka nta level 6
Kama ni Ordinary Diploma basi ni ya mwaka wa mwisho tu.
Mkuu tusibishane sana angalia hapo

Mimi ingawa Sina Uelewa Wowote Kuhusiana Na Hii NTA LEVELS Lakini Nahisi Kuna Utafauti Wa Hizi Diploma! Kwamfano Mimi Katika Academic Transcript Sina Hichi Kitu NTA, na Ninagikiri Ni Tofauti Na ORDINARY DIPLOMA kwa Sababu Cheti Changu Kimeandikwa UPPER SECOND CLASS kwa Kutumia OVERALL GPA ya 3.7! Nahisi Hawa Wanaosoma Kwa Mfumo Wa NTA ndiyo Wanasoma Miaka 2 au 3 na Kila Mwaka itakuwa Wana NTA level Yake na Cheti Chake.
Lakini Mimi Nimesoma Ordinary Diploma Miaka 3, na Hata Udisco Mwaka Wa 3 Semista ya Mwisho (Ya 6) basi Huna Cheti Wala NTA level 5 hakuna Kitu Kama Hicho.

Kwahiyo sina Uhakika! Lakini Huenda Waliosoma Diploma Za NTA wakachukuliwa Kwa GPA za Level 6 ya Mwaka Wa Mwisho.
Na Tuliokuwa Hatukusoma Kwa Mfumo Wa NTA tukachukuliwa Kwa GPA ya Miaka Yote 3.
 
Tusubiri tuone hawa watachukuliwa kwa GPA ipi maana kila mtu anauelewa wake juu ya hili
 
wasio na GPA ya 3.5 msipoteze mda chakufanya muwahi kujiandikisha kurudia mitihani ya form six ili hata kama uko kazini mwakani unaenda chuo kwa cheti cha form six.

sasa ukijiandikisha kurudia nako huko ukacheze
 
Back
Top Bottom