Sio kauli ya muungwana.mkiambiwa msome mnaendekeza starehe sasa kazi kwenu
si mlikuwa mnataka mabalidiko? sasa ndo haya mabrother men na masister duh! ndo kazzi yenu kushinda mitaani na kulala katika kumbi za starehe wakati wanaojitambua walikuwa wanapiga msuli xaxa ndalichako naye kaja na yake mnaanza kudifance tena naona GPA ya 3.5 ni ndogo xana wangeweka hata 4.0 kuendelea ndo mngefatilia maxomo....Sio kauli ya muungwana.
B+Tafadhali mnielimishe. Hivi jamani, 3.5 GPA kuipata ni rahisi au ni kazi kubwa kwenye diploma. Namaanisha at least kila somo upate grade ipi ili uweze kupata 3.5.
Hapo washatelekezwa hii ndo tz gpa imepanda na pre-entry zimefutwa.sasa ni kusoma! ambao hawajafika 3.5 kunamuongozo ama ndo kurudia diploma
Mtu anaejielewa hawezi kumwita mwenzie kilaza kisa hana gpa ya 3.5 kuna watu faculties wanazosomea ni vigumu sana kupata hiyo 3.5. Ila wengine wanawakatisha tamaa kusoma sio kufanikiwa kimaisha.Yani uwe na AAAAA,BBBBBB YA kumwaga yani kwa A-level kama 1:7
si mlikuwa mnataka mabalidiko? sasa ndo haya mabrother men na masister duh! ndo kazzi yenu kushinda mitaani na kulala katika kumbi za starehe wakati wanaojitambua walikuwa wanapiga msuli xaxa ndalichako naye kaja na yake mnaanza kudifance tena naona GPA ya 3.5 ni ndogo xana wangeweka hata 4.0 kuendelea ndo mngefatilia maxomo....
mtazamo tu tuuctafutane jamani coz mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
Wewe una GPA ya ngapi? Nani kakwambia hakuna mafanikio bila degree? Una umri gani wewe? Unataka kumbi za starehe ukakeshe wewe?si mlikuwa mnataka mabalidiko? sasa ndo haya mabrother men na masister duh! ndo kazzi yenu kushinda mitaani na kulala katika kumbi za starehe wakati wanaojitambua walikuwa wanapiga msuli xaxa ndalichako naye kaja na yake mnaanza kudifance tena naona GPA ya 3.5 ni ndogo xana wangeweka hata 4.0 kuendelea ndo mngefatilia maxomo....
mtazamo tu tuuctafutane jamani coz mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
SIKU ZOTE ALIESHIBA HAMKUMBUKI MWENYE NJAAA...........NA KUTANGULIA IO KUFIKA SIONI HAJA YA KUWATUPIA MANENO MABAYA WALIOKOSA HIYO 3.5 WANGAPI WALIKUWA WANAHAO SANA CLASS NA WAMEKOSA SO HIZI NI SITUATION TU BUT GUYS MI HUWA NAAMINI CHANGAMOTO NI SEHEMU YA MAFANIKIOWewe una GPA ya ngapi? Nani kakwambia hakuna mafanikio bila degree? Una umri gani wewe? Unataka kumbi za starehe ukakeshe wewe?