brillnoel
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 667
- 653
yapmwaka WA mwisho cyo
yapmwaka WA mwisho cyo
Jamn naombeni msaada hivi hiyo 3.5 inapatikanaje kwa mwaka WA mwisho tuu au miaka yote uliyosoma diploma
Hilo Sina Uhakika Nalo, Lakini Chuo Nilichosoma Mimi Diploma Huwa Kuna OVERALL GPA ambayo Ni Average GPA kwa Semista Zote 6.
Sasa Nadhani TCU wanachukua Hii Average GPA kwa Semista Zote Ulizosoma.
Ukisema Wanachukua Semista Ya Mwisho Huenda ikawa hivi:-
1) Semista Zote Za Mwanzo GPA yako ni 2.2 to 2.6, Lakini Semista Ya Mwisho ukakutana na Favourable Condition Na Ukagonga GPA ya 3.6! Kweli TCU ndiyo Wakuchukue??
Au
2) Semista Zoko Zote Za Mwanzo Ulikuwa Ukipiga GPA ya 4.2 to 4.6, Lakini Semista Ya Mwisho Ukapatwa Da Family/Health Problems Ukaibuka Na GPA ya 3.1! Ndiyo Kweli TCU wakuache??
Nadhani TCU wakiwa Wanachukuwa Semista ya Mwisho itabidi Staff Wa TCU wote Kwanza Wakafanye Mtihani wa RPL.
Deadline link???
Nijuavyo Mimi kuna diploma kama ya ualimu hazikuwa na kufanya mitihani ya semester hivo mtihan wa mwisho ndo GPA inakopatikanawangeweka wazi wanachukua GPA ipi
Ungeenda kuulizia vyuo vya ualimu diploma ngumu kama watu wanasomea urubani,Mfumo wa NACTE upo kwenye NTA's so wanaconsider NTA Level 6 ambayo ni mwaka wako wa mwisho ndo average gpa yake inatumika so let say 1st semester una 2.7 na 2nd semeter una 3.2 average yake ndo inahesabika kama NTA Level 6 GPA.
Huwa hawaangalii overall GPA maana haitoi uhalisia wa NTA Level 6
Wakuu iko hivi; Kwa mtu anaesoma diploma katika mtindo wa NTA Levels wanakuwa awarded certificate kila mwaka kama unakihitaji unaenda kulipia unapewa ndiyo maana mtu akidisco mwaka wa pili anakuwa awarded chet cha NTA level 4 ambayo inaitwa basic technician level 4. Kwa hiyo Ordinaly diploma ni mwaka wa mwisho na GPA inayohesabiwa ni ile average ya semister mbili za mwaka wa mwisho na ndiyo inayotumika kuomba degree. Ila kama ni non-NTA level wanschukua total GPA za semister zote sita. Nadhan nimeelewwka wakuuwangeweka wazi wanachukua GPA ipi
GPA inayohesabiwa ni ya mwaka wa tatu ambayo ni Average ya sem 1 $ 2Wakuu iko hivi; Kwa mtu anaesoma diploma katika mtindo wa NTA Levels wanakuwa awarded certificate kila mwaka kama unakihitaji unaenda kulipia unapewa ndiyo maana mtu akidisco mwaka wa pili anakuwa awarded chet cha NTA level 4 ambayo inaitwa basic technician level 4. Kwa hiyo Ordinaly diploma ni mwaka wa mwisho na GPA inayohesabiwa ni ile average ya semister mbili za mwaka wa mwisho na ndiyo inayotumika kuomba degree. Ila kama ni non-NTA level wanschukua total GPA za semister zote nne. Nadhan nimeelewwka wakuu
angalia profile yako mkuu kuna kipi kipya?Mkuu vip kwa wale tulio apply mwezi wa tano, tuta apply tena?
mtafikiriwa 2019 wakati wa kampeni. saa hizi tuko bize na hapa kazi tuJaman 3.4 kushuka chini wataenda wap??
Mkuu naona kuna Hiiangalia profile yako mkuu kuna kipi kipya?
mazungumzo yanaendelea kati ya tcu na nacteMkuu vip kwa wale tulio apply mwezi wa tano, tuta apply tena?
wangeweka wazi wanachukua GPA ipi