Aloyce Mkwizu
Member
- Dec 19, 2016
- 70
- 53
Buguruni ya Kigoma au ya Dar!?Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838
Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
Uyu mleta taarifa mbona aji na mrejesho zote 2 ndio 120m au kwa kila moja
Utukome!Watu wa Kigoma bhana.. Tv na decoder imezingirwa na ulinzi mkali hata ukubwa wa screen umepungua.
Nilijua hizi tabia ziko Kigoma kumbe hadi Buguruni zimefika!!!!
Wewe ulishalipa sh? kwa short timeKwa buguruni hiyo guest unapiga short time buku 5 kwa Mwaka mmoja unahesabu faida tu! Buguruni naikubali sana!
kwanza kadanganya, short time 3000 paleWewe ulishalipa sh? kwa short time
Hahahaaaa! Wataalam wa mambo mko fitikwanza kadanganya, short time 3000 pale