Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Mtazame vizuri huyu mama.........
du jamaa anafanana na mama yake huyu khaaaa.
watu hmu jf wanataka afanane na baba yake.........ajabu na yeye hajitetei "nimemfanania mama miye"
![]()
mbona hajatajwa kwenye majina ya watoto?
Kunani tenaa??