GTA VI kuzinduliwa mwakani May 26

GTA VI kuzinduliwa mwakani May 26

Haiwezekani
Hivi GTA V ni free ninaweza ipata kwa smartphone nikaicheza tu vizuri?
Kuna haja kuwa na Uzi wa games deals, sometime unapata bure hizi games for some time.

Kwa simu unaweza cheza ukiwa na simu ya karibuni yenye Snapdragon ama Exynos mpya, kuna Emulators ambazo zinaweza cheza pc games.

Ila hilo game litataka nafasi kama GB 100 so simu minimum iwe na storage ya 256GB na angalau GB 100 free.
 
Hivi mkuu mfumo wa cloud game upoje hasa kwenye simu za android, ni kweli unaweza kucheza game za pc?
 
Hivi mkuu mfumo wa cloud game upoje hasa kwenye simu za android, ni kweli unaweza kucheza game za pc?
Unaweza ila cloud games inataka server iwe karibu, so service husika ikiwa na server Kenya ama South inakuwa rahisi speed kuwa nzuri, ila server ikiwa Marekani huko hata ukiwa na fiber tegemea ping 150+ms hutapata experience nzuri.

Sema emulation inakua kwa kasi sana, sasa hivi games za zamani mpaka ps2 unacheza kwenye simu.

Games za switch, ps3 na Pc baadhi unacheza baadhi hazichezi.
 
Njema au mbaya mkuu?, sababu official release ya mwanzo ilisema ni ndani ya mwaka huu sasa wameamua kutepelekea mbele tusubiri tena mpaka mwakani
Tuwe wavumilivu mkuu
 
Watu wa Ps4 itakua wamefurahi kweli maana itakua inacheza kwenye Ps5 tu na Xbox kama sikosei
 
Watu wa Ps4 itakua wamefurahi kweli maana itakua inacheza kwenye Ps5 tu na Xbox kama sikosei
Yeah GTA VI litacheza kwenye ps 5 na xbox series X. Mostly of upcoming games nyingi washaanza kuisolate ps4
 
Ikiwezekana warudishie baadhi ya features za kweny gta iv kama kuingia kila nyumba, kuokota vitu, kununua chakula, npc kutumia ATM na Petrol station
 
Ikiwezekana warudishie baadhi ya features za kweny gta iv kama kuingia kila nyumba, kuokota vitu, kununua chakula, npc kutumia ATM na Petrol station
Yes na kula maana jamaa hawali kabisa na wana survive tu
 
Back
Top Bottom