Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,074
- 43,530
Haiwezekani
Kuna haja kuwa na Uzi wa games deals, sometime unapata bure hizi games for some time.Hivi GTA V ni free ninaweza ipata kwa smartphone nikaicheza tu vizuri?
Kwa simu unaweza cheza ukiwa na simu ya karibuni yenye Snapdragon ama Exynos mpya, kuna Emulators ambazo zinaweza cheza pc games.
Ila hilo game litataka nafasi kama GB 100 so simu minimum iwe na storage ya 256GB na angalau GB 100 free.