Game Theory, naandika haya ndani ya kipindi hiki cha global financial crisis, na kwa abstract kama hii ni imani yangu kubwa kuwa hapo ulipo sasa umekakamaa mbele ya screen yako uki-scroll na kubonyeza manamba-namba kwenye BARX level 2 trading platform...
Nasi huku kwetu kwenye platform yetu ya JF tupo tunaendelea kuuza na kununua sera za vyama na strategies za maendeleo ya nchi yetu. Ma-brokers wetu hapa JF ni wa aina mbali mbali; wengine wana short-sell takwimu za maendeleo, wengine wanauza reserve bonds za vyama, wengine wana trade CFD katika mahusiano na mapenzi, wengine indexes za vyama vyao zimeporomoka na sasa wanahaha kusubiria federal rescue packages, wengine wanasubiria kuyoyoma na hostile takeovers, n.k, n.k..... almradi tu mambo yanaenda.
Katika kutoa pongezi zangu kwa kutuuzia shares za ujuzi wako kwa bei nafuu kabisa na ya kutupa; nikiamini, kwa niaba ya Wana JF wote, TUNASHUKURU UWEPO WAKO NA MOYO WAKO WA KIZALENDO WENYE DHAMIRA YA KULIKOMBOA TAIFA LETU kupitia hisa zako.
Hata hivyo pamoja na kwamba tayari tumeshanunua share nyingi kutoka kwako, naamini WanaJF wapo tayari kununua shares nyingine za ziada kwa kiwango chochote utakacho floatisha. Ma hedge fund na majidubwasha mengineyo wewe tuletee tu, hata yale ya inside trading. Na katika kuhakikisha soko huria linaendelea, nina imani uongozi wa JF umekaza boot kuzungurushia uzio "bad debts" zozote zilizokuwepo katika aina za trading zitokeazo hapa ili kulinda maslahi ya members wake na stakeholders wote. Na policy implementation zozote kama zipo naamini ni kwa ajili ya kuhakikisha progressive motto ya JF inatimizwa na dividends zozote ni kwa ajili ya Watanzania na WanaAfrika wote.
Hongera GT Kwa Mabandiko 4000!! Uzi Ni Ule Ule na tumkome nyani....
SteveD.
Hongera GT kwa 4k, nadhani hutachoka kutusaidia kupata equilibrium
Hongera sana GT kwa michangi yako ya kina na kusimama kidete kupigania haki hapa JF. Jamaa tayari wana budget deficit ya $470 billion wanataka kuongeza deficit kwa $700 billioni na hivyo kuwa na deficit ya $1.170 Trillioni. Mimi yangu macho tu lakini hii bahati nasibu wanayoitaka kuicheza inaweza ikawa mbaya sana. Hongera sana.
GT,
Mungu akubariki, hongera kwa Stoki 4k!
Hongera GT.
"Wanaamini kuwa".. "Mti mkubwa kabisa ukianguka porini na hasiwepo mtu wa kuusikia,basi inawezekana kabisa mti huo haukutoa sauti".Sasa GT lazima ili tusikie sauti yako na sisi (tusiovuma lakini tupo) tuwepo ili kusikia sauti ili kupata logic ya hao wanaphilosofia.Kuwa ndg hongera sana.Tunalidhika na mchango wako.
Hiki kichwa lazima nikipongeze sio yule mzee majina mengi AKA dataz man......Big up GT
GT
HOngera mkuu. Karibu sana na endelea kuwepo.
FP
Hongera sana GT
Congrats GT!!!
GT, wewe ni guru hapa JF, hongera sana mkuu. Mimi napenda sana picha zako maana zinatoa mafundisho mengi. Hongera kwa kufikisha mabandiko 4000.
Hey mate, Didnt see this one out. Indeed I hate numbers since my time at school. Look at it, its here again and the counting is 4000! is it true? dont think so.....
Mkuu GT your postings worth more than 4000 and in monetary terms ( and u know my profession by the way) it worth more than milion dollars!
Kamekuwa kama kata boo on my side whenever I see anything posted by u haraka nakimbilia kucheck and believe me u neva let me down.
Kama Bakari Abeid alivyoimba " Mazoea yana taabu tabia zikilingana, tena ni kubwa adhabu......"
I dont know whether its coincidentally, accidentally, or planned one kuna wakati ulipotea hapa and to me JF was not the same na nilikuwa mzito sana kubofya bofya kwani back in mind nilikuwa nahisi something is missing.... na kweli uliporudi nikaanza kupata ile mzee Wenger anaita "fluid" katika yale mambo yetu ya kule north karibu na watani down the lane.
Well hilo la eti huitakii mema jf ni wimbo unaoimbwa na siku zote na mzee wa data nothing new ndio maana Abbas Mzee akasema " akufanyae unabaya bora u- mmnyamazieee....."
Hakuna maneno tosheleza kuelezea michango yako hapa kama tungekuwa na mfumo wa kikada basi wewe upo katika ligi moja na vingunge kwenye top brass...
Hongera sana kwa milestone 4k and see u in 6k
Hongera sana Masatu Oops Mkuu GT
Tumekuwa tunajadili sana watu badala ya issues (japo kwa wanasiasa you cant separate the two) ukweli ni kuwa sasa hivi all one needs in a computer with a bradband connection kisha akaanzisha blog ambayo anaweza kuset the agenda sasa the only problem is can we really remain in this comfort ? for how long? I had so much faith with MWANAKIJIJI mpaka pale alipoanza kuwa biased and from there akawa in my eyes amelost the plot lakini he still have some room for improvement kwani KLH NEWS ni chombo madhubuti sana.