GSM anarudi Yanga, kilichotokea ni kupima upepo tu

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,802
Hii mbinu amekua akiitumia Mo pale Simba. Hawa watu wenye hela na wafanya biashara mda wote wanataka wawe midomoni mwa watu ili wafanye biashwords!ao. Walichokifanya GSM ni kujaribu kupima je wana nguvu kiasi gani kwa Wanayanga na Watanzania kwa ujumla.

Nazani kwa hali ya hewa ilivyochafuka GSM wamelipata jibu na timing yao ilikua perfect. Bishara lazma iendelee na si haba toka GSM waingie Yanga wameweza kukaa midomoni mwa watu na lengo lao la kujitangaza na kufanya biashara limefanikiwa asilimia 100. Ndani siku 2 au 3 mtasikia betri iliyochomolewa imerudishwa. Mark my words!

Ya Simba lazma yatokee Yanga ndo sifa ya hizi timu zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiesiemu ni mdudu gan hapa Tz?
Je malengo na mkataba wa GSM una fanana na wa Mo pale Zimber?
Hivi ni kwanini hawawatu wanaabudiwa sana?
 
GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.

Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji

1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia

Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.

GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.

Huu ndio ukweli.. Maadui wa yanga kwasasa mbali na MAGOMA ni.. Gumbo, Rupia na Shija bila kumsahau Kamgisha. Mambo ya msemaji wetu Bumbuli kukanusha ni uongo. Na baada ya kikao cha kamati bwana Rupia aliongea na muandishi aitwae NAHEKA .. na huyu muandishi ndie alieawafungua wengi macho.

Huu ni ukweli wa asilimia mia moja. Ghalibu kaandika barua na imepokelewa yanga.tarehe 24 mchana. Bodi.ya GSM imemshauri Ghalib kushugulika na jezi tu basi.

Bwana gumbo, shija, rupia na kamgisha hatutachanga tena na tutakufa na nyie
 
Mkuu, ya kweli haya? Hawa wajumbe huwa wanakimbilia kamati hizi za usajili ili kujipatia fedha haramu

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Sanaa mkuu UPANDE WA SIMBA KUNA WAWILI HAOO YAAN WALIPOONDOKA SIKUAMINI LOH..HAOO UKISIKIA OKWI DAR WAO..UKISIKIA...DAR WAOO...NOW NAELEWA KWANN ZILE NAFASI WANAHONGA NA KUONGA KUZIPATA
 
GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.

Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji

1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia

Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.

GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.

Huu ndio ukweli.. Maadui wa yanga kwasasa mbali na MAGOMA ni.. Gumbo, Rupia na Shija bila kumsahau Kamgisha. Mambo ya msemaji wetu Bumbuli kukanusha ni uongo. Na baada ya kikao cha kamati bwana Rupia aliongea na muandishi aitwae NAHEKA .. na huyu muandishi ndie alieawafungua wengi macho.

Huu ni ukweli wa asilimia mia moja. Ghalibu kaandika barua na imepokelewa yanga.tarehe 24 mchana. Bodi.ya GSM imemshauri Ghalib kushugulika na jezi tu basi.

Bwana gumbo, shija, rupia na kamgisha hatutachanga tena na tutakufa na nyie
Hao ni bangusilo au kondoo wa kafara.
Iweje wamwendeshe Mwenyekiti aliyepewa dhamana na wanachama? Haingii akilini.

Tatizo ni Msolla mwenyewe. Ili GSM waendelee lazima Msolla ang'oke. Hakuna mbadala
 
#fact# Msola ni mwenyekiti mbovu na boya kuliko wenyeviti wote waliowah kuchaguliwa yanga...
Hao ni bangusilo au kondoo wa kafara.
Iweje wamwendeshe Mwenyekiti aliyepewa dhamana na wanachama? Haingii akilini.

Tatizo ni Msolla mwenyewe. Ili GSM waendelee lazima Msolla ang'oke. Hakuna mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nisingepoteza pesa zangu kusaidia team ambazo viongozi wake ni bongolala kama hawa wa simba na yanga.
charity begins at home...anza kutoa hata soda na pipi mtaani kwako utafika level za GSM..jamaa kaanzia chini mpaka kawa mkubwa
 
GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.

Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji

1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia

Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.

GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.

Huu ndio ukweli.. Maadui wa yanga kwasasa mbali na MAGOMA ni.. Gumbo, Rupia na Shija bila kumsahau Kamgisha. Mambo ya msemaji wetu Bumbuli kukanusha ni uongo. Na baada ya kikao cha kamati bwana Rupia aliongea na muandishi aitwae NAHEKA .. na huyu muandishi ndie alieawafungua wengi macho.

Huu ni ukweli wa asilimia mia moja. Ghalibu kaandika barua na imepokelewa yanga.tarehe 24 mchana. Bodi.ya GSM imemshauri Ghalib kushugulika na jezi tu basi.

Bwana gumbo, shija, rupia na kamgisha hatutachanga tena na tutakufa na nyie
All bull shits.out.mmelewa sasaa
 
Back
Top Bottom