Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,305
Mivyura mna mihemukooo....Baada ya mechi ya leo jumapili Singida wanawasubili, halafu kuna wale mashujaa.
Labda unaongelea ubingwa wa kujamba.
Mivyura mna mihemukooo....Baada ya mechi ya leo jumapili Singida wanawasubili, halafu kuna wale mashujaa.
Labda unaongelea ubingwa wa kujamba.
Hizi pesa za GSM anazochezea mara nyingi zinatokana na kukwepa kodi!!Sportsarena,
Ni GSM kwa sababu kwanini Ni mechi za Simba pekee? Halafu Ni haaka baada ya Yanga kubanduliwa.
Bahasha! View attachment 2772360