"Ground Floor" kwa Kiswahili

Kafiti

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
535
220
Asalaam,

Ningependa kufahamishwa maana rasmi ya hili neno "Ground Floor" kwa kiswahili.

Ni sahihi kuitamka "Ghorofa ya Chini" au kuna maana nyingine wakilishi.

NB: Imebidi niongeze na hili neno pia "Basement Floor"
 
Ghorofa ya sakafu or just SAKAFU(NI)
Asalaam,

Ningependa kufahamishwa maana rasmi ya hili neno "Ground Floor" kwa kiswahili.

Ni sahihi kuitamka "Ghorofa ya Chini" au kuna maana nyingine wakilishi.
 
Back
Top Bottom