TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Toyota, discovery,land rover na ford ranger zipo zinazounganishwa south Africa Kwa under licence...
Mimi naongelea origin ya ford ranger ni England hata kama south Africa wanatengeneza Ila technology yake imetoka England
Usiwe mbishi mkuu njoo na source yakoView attachment 1852384
Screenshot_20210714-064619_UC%20Browser.jpg
 
Quality ya gari zinauzwa uku Africa zikiwa mpya huwa quality yake iko chini sana kulinganisha na na magari yanayouzwa kwenye nchi za wenzetu wanaofatilia quality za gari. Safety, security, body strength etc. Ni bora ununuwe mtumba wa gari toka Europe or America utapata quality nzuri.
South zinatengenezwa under licence.
 
Comfort ya kutosha, siyo comfortability ya kutosha. Hakuna neno comfortability mahali popote duniani kwenye kiingereza. Tafuta katika dictionary yoyote au google, hutapata neno hi

Comfort ya kutosha, siyo comfortability ya kutosha. Hakuna neno comfortability mahali popote duniani kwenye kiingereza. Tafuta katika dictionary yoyote au google, hutapata neno hilo!
Kwani yeye kakuambia Hilo neno ni la kiengereza?
 
Halafu unakuta mtu anajidai na kuwadharau binaadamu wenzake wasio na uwezo au wasio na elimu au wasio na vyeo.
usijione bora kwa sababu eti wewe ni tajiri.
banaadamu wote ni sawa, sote tutakufa na kuacha kila kitu, hivyo tupendane na tuheshimiane.
 
Ford Ranger zinawachomoa watu kwelikweli. Hizi mashine sijawahi kuendesha najiuliza ni Ile speed yake au zinakosa balance zikiwa kwa speed fulani?
Hizi ni hatari kwa speed ndani ya dakika ushamaliza kisahani na inadai sasa ikikutana na dereva ambae hana control lazima avute

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom