TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Hahahahhaa Mimi namshukuru MUNGU nimeshasaidia kuepusha ajali karibia nne au tano na ya mwisho ilikua mwezi uliopita, tumetoka Kahama na Coster, tumefika maeneo ya Bwawani kwa mbele kumbe dereva amesinzia aisee, hio ni saa kumi usiku. Nikamstua akarudi kwenye line. Akapata yale maeneji drinki tukasimama Chalinze kidogo
Mkuu mwaka jana mwezi kama huu siku kama ya leo ilikuwa tu-RIP pale Misigiri. Dereva kapiga usingizi huku gari Iiko kwenye mwendo tena upande wa kulia wa barabara! Inaonekana alihama kwenye lane yake na mbele linakuja roli la Trans. Pona yetu ilitokana na dereva wa roli kupanua kuelekea upande wetu wa kushoto na sisi tulitoka nje ya barabara upande wa kulia.

Chanzo cha ajali yetu ilikuwa ni usingizi. Tuliondoka Dar jana yake jioni,gari likaunguruma hadi asubuhi yake, pale Manyoni tukamshauri alale kidogo angalau masaa manne kupambazuke, yeye akasema ni mzoefu anahitaji nusu saa tu.... Safari ilikuwa iishie Misigiri lakini Mungu bado ametukopesha uhai hadi siku nyingine.
 
Poleni wafiwa. Daima tujitahidi kuwa waangalifu barabarani. Hizi alama za barabarani na speed meters kwenye vyombo vya usafiri si mapambo. Tunahitaji kuzifuata kwa umakini. Asilimia kubwa ya ajali zinatokana na uzembe wa wahusika. Vijana wengi ndo wanakuwa wahanga wa hizi ajali siku hizi...sijui ni ujana na jeuri ya pesa..Mwenye Mungu atusaidie. Nguvu ya kazi inapotea.

Mimi nikiwa barabarani siku zote najiuliza hizi speed za viongozi wa serikali..ni kwamba wao wana mkataba na Mungu? Its really unfortunate lakini inasikitisha sana.

Mwisho wa siku ukiondoka, si wewe tena, ni wale wategemezi wako. Tuache ubinafsi. Siku zote tutambue kwamba matendo na maamuzi yetu yana impact kubwa kwa wengine kuliko sisi. Imagine mshua kama huyu atakuwa na watoto under 10s...na biashara ambazo ilikuwa inategemewa na makumi kama siyo mamia....sad.

Apumzike kwa amani ndugu yetu Full dose. Familia yake, wafanyakazi wake na mke wake, nawapa pole maalumu kwa huu msiba.
 
Babes najua umeifananisha na ile Hilux yetu ya kubebea lishe ya kitimoto... hiyo sio mjapani mama... hebu njoo chumbani huku nukueleweshe vizuri....
Ha ha ha 🤣🤣🤣🤓 Asprin bwana miaka yote hiyo haijawahi kukoma kuondoa maumivu.. . Iko kwenye chart muda wote.😏😏😎
 
South zinatengenezwa under licence.
Yes, South inatengeneza under licence ya ya parent company Ford America. Lakini quality ya south Africa siyo sawa na quality ya North America, ni bora kununua ya North America , body, strength, safety viko standard nzuri
 
Mkuu mwaka jana mwezi kama huu siku kama ya leo ilikuwa tu-RIP pale Misigiri. Dereva kapiga usingizi huku gari Iiko kwenye mwendo tena upande wa kulia wa barabara! Inaonekana alihama kwenye lane yake na mbele linakuja roli la Trans. Pona yetu ilitokana na dereva wa roli kupanua kuelekea upande wetu wa kushoto na sisi tulitoka nje ya barabara upande wa kulia.

Chanzo cha ajali yetu ilikuwa ni usingizi. Tuliondoka Dar jana yake jioni,gari likaunguruma hadi asubuhi yake, pale Manyoni tukamshauri alale kidogo angalau masaa manne kupambazuke, yeye akasema ni mzoefu anahitaji nusu saa tu.... Safari ilikuwa iishie Misigiri lakini Mungu bado ametukopesha uhai hadi siku nyingine.
Usingizi hauna adabu
 
Achana na usingizi wkt wa kuendesha gari mkuu.... Kisa changu ni Mungu aliingilia kati vinginevyo ningeua familia yote 🙏🙏
 
Poleni wafiwa. Daima tujitahidi kuwa waangalifu barabarani. Hizi alama za barabarani na speed meters kwenye vyombo vya usafiri si mapambo. Tunahitaji kuzifuata kwa umakini. Asilimia kubwa ya ajali zinatokana na uzembe wa wahusika. Vijana wengi ndo wanakuwa wahanga wa hizi ajali siku hizi...sijui ni ujana na jeuri ya pesa..Mwenye Mungu atusaidie. Nguvu ya kazi inapotea.

Mimi nikiwa barabarani siku zote najiuliza hizi speed za viongozi wa serikali..ni kwamba wao wana mkataba na Mungu? Its really unfortunate lakini inasikitisha sana.

Mwisho wa siku ukiondoka, si wewe tena, ni wale wategemezi wako. Tuache ubinafsi. Siku zote tutambue kwamba matendo na maamuzi yetu yana impact kubwa kwa wengine kuliko sisi. Imagine mshua kama huyu atakuwa na watoto under 10s...na biashara ambazo ilikuwa inategemewa na makumi kama siyo mamia....sad.

Apumzike kwa amani ndugu yetu Full dose. Familia yake, wafanyakazi wake na mke wake, nawapa pole maalumu kwa huu msiba.
Ahsante sn mkuu na kwa ushauri wako umezingatiwa....
 
Back
Top Bottom