TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

Alale Salama Gregory
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Huyu aliwahi kuwa mbunge wa mpwapwa kweli?

Mzee G, Lubeleje ambae alikuwa mbunge wa Mpwapwa kwa miaka yote Hadi mwaka 2020, alipo katwa CCM, alikuwa mbunge wa Jimbo gani?
Ni kweli alikuwa WA Kwanza kumtengua Lubeleje baada ya kufanya Jimbo ni lake. Nae akamtengua nae Lubeleje katenguliwa tena, Ila zee lile linapendwa hatari linajua Sayansi ya kuishi na watu.
 
Back
Top Bottom