(Gregorian calendar) Is he pious?

Bwana Nicolas,

Naomba nipingane na wewe juu ya hoja yako hii "we have no power to decide anything in this world,wenye power ndio wanasema nasi tunafuata". Mtanzania inaelekea unajiweka mwenyewe kwenye nafasi ya chini sana duniani. Hakuna mtu anayekulazimisha uchukuwe nafasi hiyo. Nami nakushauri kwamba uachane na nafasi hiyo ktk uringo huu wa kimataifa. Kama wanakupangia mambo nawe ni mtu wa kufuata tu basi nakuombea sana ujiokoe na mnyororo huo. Cha kufanya ni hiki: Jiulize swali kwa nini wanipangie na kwa nini sina "power"? Nakwambia hivi, ukitaka kuwa na power utapata power yako, jambo kubwa ni uamuzi wako mwenyewe. Pia usipotaka kupangiwa mambo na jirani yako ni hatua nzuri. Hatua inayofuata ni kuanza kujipangia mwenyewe. Ukifanya hayo, hutaona mtu anakuingilia...ndiyo kwanza atakuheshimu sana maana unajitegemea na unaonyesha utashi wako. Mtanzania simama wima na chukua nafasi yako kama mtu mwenye hadhi na uwezo sawa na wengine duniani. Just act! Kama nimekuudhi, basi unisamehe. Ila napenda kuona kwamba mtanzania anajisikia yupo sawa na watu wengine wowote duniani, na anatambua uwezo wake na jinsi ya kuutumia.

mtafungwa wachache sana tunajua kuwa tunaweza kusema no kwa baadhi ya mambo lakini serikali yetu ndio wanaosaini mikataba mbalimbali na kutuwakilisha katika mambo mabalimbali. kwani uongo kuwa tanzania ni nchi ya kukubali tu vitu,labda tubadilishe mfumo ndio tutaweza kuwa na hiyo power usemayo, hata hivyo katika mahusiano ya kimataifa sisi ni nani tuna nini? haya ni maswali rahisi ya kujiuliza je ni sera gani ya umoja wa mataifa tuliyopinga ukishakuwa ni sehemu ya umoja wa mataifa china anaweza kusema jambo kwani anaweza kisimama kifua mbele na kuhoji na kupinga na kufanya kila kitu.

narudia tena no power ni international community no right to decide or argue.
nikizungumza tanzania najumuisha pia serikali na haswa serikali kwani ndio watunga sera wawakilishi wa wananchi na wao ndio wasema ndio wakubwa, lakini mtu mmoja mmoja anaweza kujiamini lakini bado kutokana na mambo yalivyo akapata wakati mgumu kufanya anayoyataka kutokana na mambo ambayo serikali tayari imeshaharibu.
tunaweza kuwa na power in east africa community kwani karibu tunalingana kiuchumi ila katika dunia we are yet to have the power.
 
Ndugu yangu Vodka, kuna vitu nakubaliana na wewe na kuna vitu sikubaliani na wewe.
(a) Ni kweli kuwa Kalenda tunayotumia leo hii ijulikanayo kama Gregorian Calendar iliamualiwa na Pope Gregory mwaka huo wa 1585. Hata hivyo madabiliko makubwa yaliyofanywa na Papa Gregory ilikuwa ni kuondoa leap year moja katika kila karne. Hii ilitokana na sababu kadhaa ila moja kubwa ikiwa ili kufanya namba ya siku katika mwaka mmoja iendane sawa na namba ya siku zitumiwazo na dunia kuzunguka jua ikiwa hasa na lengo la kutaka ni kulipa dakika 11 na nusu zilizokuwa zinaongezwa na Julian Calendar kila mwaka.
(b) Kwa muda mrefu sana kalenda za kirumi zilikuwa na miezi ama kumi, au kumi na mbili au kumi na tatu. Kalenda ya zamani sana ya kirumi ilikuwa na miezi kumi na siku 304 kama ifuatavyo:
Martius ( siku 31),
Aprilis (siku 30)
Maius ( siku 31)
Iunius ( siku 30)
Quintilis ( siku 31)
Sextilis ( siku 30)
Septimus ( siku 30)
Octo ( siku 31)
Novem ( siku 30)
Decemvis ( siku 30)
Nakubaliana na wewe kuwa majina ya miezi minne ya kwanza yalitokana na majina ya miungu wa kirumi wa wakati huo: Mungu wa vita (martius)- Mwezi huo baada ya baridi ndipo warumi walikuwa wakipigana vita. Mungu wa mapenzi (Aprilis)- mwezi huo ndipo walikuwa wakijamiiana sana, Mungu wa uzazi (Maius)- baada ya kuwa wamejamiiana sana mwezi Aprili, wanawake wengi walikuwa wakijifungua mwezi huu wa Maius, Mungu wa ndoa (Janisu), mwezi huuo ndipo vijana wange walikuwa wakifunga ndoa. Majina ya miezi sita inayofuata yalitokana na nafasi yake katika mwaka ambapo Quintlis ni namba tano ya kirumim Sextilis ni namba 6 septimus namba 7, Oto ni 8, Novem ni 9 na Decemvis ni 10.
(c) Kutokana na elimu ya unajimu kuongezeka, kalenda hii ilikuwa ikifanyiwa mabadiliko kidogo kidogo ili iendane na unajimu. Mabadiliko hayo ni pamoja na kuingizwa kwa miezi mingine mitatu ya Ianuarius, Februarius, Mercedonius kabla ya Martius na hivyo kuhamisha mwezi Martius kutoka mwezi wa kwanza wa mwaka hadi kuwa mwezi wa nne wa mwaka. Jina Ianuaris lilikuwa na maana ya mlango wa kuanzia mwaka. Mwaka 45BC, kalenda hii ilifanyiwa mabadiliko makubwa sana chini ya utawala wa Julius Caesar; mabadiliko haya yaliyoleta kalenda iliyojulikana kama Julian Calendar yalibadilisha idadi ya siku za mwaka kutoka siku 355 had siku 365 au 366 kama ifuatavyo hapa chini, na kuondolewa kwa mwezi wa Marcedonius.
Ianuarius (siku 31),
Februarius (siku 28 au 29)
Martius ( siku 31),
Aprilis (siku 30),
Maius ( siku 31),
Iunius ( siku 30),
Quintilis ( siku 31),
Sextilis ( siku 31),
Septimus ( siku 30),
Octo ( siku 31),
Novem ( siku 30),
Decemvis ( siku 31)
Baadaye majina ya miezi ya Quantilis na Sextilis yalibadilishwa kuwa Lilius na Augustus ili kuwaenzi wafalme Julius Caeser na Augustus Caeser. Kalenda ya Juliana ilikuwa inaamini kuwa dunia huzunguka juwa kwa masaa 8766; kwa hiyo kwa vile unajimu ulikuwa unaonyesha kuwa dunia huzunguka jua kwa muda wa masaa 8765.8, kalenda hii ya Julian ilikuwa inaongeza karibu dakika kumi na moja kwa kila mwaka. Hivyo mabadiliko yaliyofanywa na papa Gregory ni kutafuta idadi ya siku zilizokuwa zimeongezwa na kalenda hiyo ya Julian na kuzilipiza kwa kuondoa siku moja kwa kila baada ya miaka 132. Hapa ndipo sikubaliani nawe kuhusu mchango wa Pope Gregory kwenye kalenda yetu ya leo; hakufanya mabadiliko makubwa sana kama unavyoiweka.
(d) Kutokana na ukweli huo kuwa mchango wa Pope Gregory katika kutunga kalenda haukuwa mkubwa sana kwa vile hakubalidilisha miezi wala siku bali alirekebisha kosa na kuweka njia ya kulizuia kosa hilo, basi utagundua kuwa hoja yako kuwa kwa nini aliacha majina ya miungu yaendelee kutumika haina uzito sana kwa kuwa yeye hakutunga kalenda mpya bali alifanya marekebisho madogo sana katika kalenda iliyokuwapo.
(e) Hata hivyo umeleta swali la kufurahisha sana linaloweza kupanuliwa na kuwa la kwa nini dunia nzima leo hii imekubali kuendelea kutumia majina ya miungu wa warumi wa zamani kwenye kalenda hii.
ujue ukija kufuatilia vizuri hata baadhi ya sikukuu kubwa kama x-mas zipo kwenye tarehe tofauti ktk kalenda.Lakini nadhani kwa mfano x mas ya sasa ya tarehe 25 Desemba inatokana na sikukuu ya wapagani wa kirumi waliokuwa wakiabudu jua na kusherehekea kuzaliwa kwake maana ndipo jua angavu lilitokea siku hiyo.Katika karne (336 AD) wamisionali baada ya kwenda huko ndipo wakaibadili siku hiyo kuwa siku Yesu kuzaliwa.Hatimaye siku hiyo kuwa maarufu hata sasa.Kwa sababu hiyo nahisi Gregory alifanya ivyo kwa maana fulani ya kiimani na si kutukuza miungu ya kirumi,kama vile kuiaibisha miungu ile.
 
Kichuguu unanifanya nicheke sana,hivi unafikiri mimi nazungumzia imani yangu?Jiulize ni kwanini ziondolewe siku 11 na sio pungufu?Kwanini hayo yafanywe na papa wa 13 na sio zaidi yake au nyuma yake?Hili sio suala la imani kijana,petro anaedaiwa kuwa papa wa kwanza wa kanisa katoliki sio yule mfuasi wa Yesu,mimi sikuzungumzia dini wala haya mambo hayakutokea bahati mbaya kama unavyofikiri!
jibu la swali lako limo humuhumu hebu pitia vizuri tangu mwanzo.
 
mtafungwa wachache sana tunajua kuwa tunaweza kusema no kwa baadhi ya mambo lakini serikali yetu ndio wanaosaini mikataba mbalimbali na kutuwakilisha katika mambo mabalimbali. kwani uongo kuwa tanzania ni nchi ya kukubali tu vitu,labda tubadilishe mfumo ndio tutaweza kuwa na hiyo power usemayo, hata hivyo katika mahusiano ya kimataifa sisi ni nani tuna nini? haya ni maswali rahisi ya kujiuliza je ni sera gani ya umoja wa mataifa tuliyopinga ukishakuwa ni sehemu ya umoja wa mataifa china anaweza kusema jambo kwani anaweza kisimama kifua mbele na kuhoji na kupinga na kufanya kila kitu.

narudia tena no power ni international community no right to decide or argue.
nikizungumza tanzania najumuisha pia serikali na haswa serikali kwani ndio watunga sera wawakilishi wa wananchi na wao ndio wasema ndio wakubwa, lakini mtu mmoja mmoja anaweza kujiamini lakini bado kutokana na mambo yalivyo akapata wakati mgumu kufanya anayoyataka kutokana na mambo ambayo serikali tayari imeshaharibu.
tunaweza kuwa na power in east africa community kwani karibu tunalingana kiuchumi ila katika dunia we are yet to have the power.

Ndugu yangu, nakubaliana nawe kwamba ni taabu kwa watanzania kuwa na collective power kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kusalitiana au kutojiamini. Lakini pamoja na hayo, nadhani unakubaliana na mimi kwamba nguvu ya nchi, hata kama ina mali kidogo, inatokana na nguvu ya mtu mmoja mmoja. Wewe na mimi na yule tukijiamini, tukapanga mambo yetu na kuyafanya tukiamini yanafaa, ndiyo nguvu ya nchi hiyo. Nafikiri chanzo hapo hasa ni kujiamini na mengine yanafuata.

Pia tunaweza kusema kwamba ikiwa najiona sina nguvu mbele ya yule mchina, basi changamoto yangu kubwa ni kuanza na mchakato wa jinsi ya kuwa na nguvu aidha inayolingana na huyu Mchina au kumkaribia ama kumshinda...nitajishughulisha na mambo ya msingi yanayoweza kuinua power yangu...kama ni utashi wa kisiasa, kidiplomasia, kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk. Yaani badala ya kusema "mimi jamani ni mnyonge" nitajishughulisha kimyakinya hadi naibuka kidedea...hiyo yote ni kwa sababu kila kitu kinachowezekana kwa mwenzio kinawezekana hata kwako pia...the only thing to do is to act and continue to act hadi upae juu.

Kinachohusiana na hili ni mjadala uliomo ktk jukwaa hili wenye uzi (thread) "Elimu ya Tz" ambapo tunajadili mfumo wa elimu wa Tanzania. Mfumo mzuri wa elimu ni ule unaomjengea mwanafunzi power, nikimaanisha mambo makubwa kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Ujuzi na maarifa ya kutosha, ubunifu (wa kisayansi, kisanii, kiteknolojia nk), hali ya kujiamini (kuamini kabisa moyoni kwamba "naweza" na "nitafanya"), uwezo wa kujali utu wa binadamu, utambuzi wa kimaadili na kuwa muadilifu (kujisikia kwamba rushwa ama ufisadi ni aibu kubwa). Mtu yeyote anayepata elimu ktk mfumo wa aina hii atakuwa na uwezo wa kulisimamisha taifa wima kwa namna yeye mwenyewe alivyo na mambo ayafanyayo popote aendapo ulimwenguni...ndiyo power ya nchi hiyo ktk ngazi za kimataifa. Kwa hiyo ndugu yangu, sijayaweka mawazo yangu hapa ktk mpangilio mzuri lakini nadhani ujumbe unaeleweka. Kimsingi naungana nawe, lakini pia nasema kwamba kinaweza kufanyika kitu ili power ipatikane---iwe ya mtu mmojammoja au ya kitaifa...
 
Why maintain a population of 500,000,000 and not 1,000,000,000 or 5,000,000,000?

The commandments are vague and in danger of self violating themselves from "avoid petty laws and useless officials. What are petty laws? Useless officials to whom?

Overpopulating the world is bad (basically we will be choking our resources), a population target of 500 million (just under half the population of India) is equally bad in that it will vastly underutilize the world's resources and reduce the collective brainpower of humanity drastically.

The world, with the help of responsible technology, can maintain a population of 5 billion with no adverse repercussions.
Kiranga, I think that the number 500 000 is connected to the last commandment about giving room to nature. Why 500 000 and not a million? maybe because it is the minimum viable to perpetuate a civilization (nadhani tu, sina uhakika).

Today earth seem to be a planet for humans to live. Maybe with that number it will become a planet containing all sort of things (minerals, vegetation and animals) and all using the ressources equally.

I am a bit concerned about the methods to be used to downsize the world population (engraving such a message on a hard material and planting it in the desert where no one lives looks to me like a message to future generations who could question 'somebody's' actions), but as long no one is killed, as long as we are just reducing the birth rates, I agree with the idea.
 
Kiranga, I think that the number 500 000 is connected to the last commandment about giving room to nature. Why 500 000 and not a million? maybe because it is the minimum viable to perpetuate a civilization (nadhani tu, sina uhakika).

Today earth seem to be a planet for humans to live. Maybe with that number it will become a planet containing all sort of things (minerals, vegetation and animals) and all using the ressources equally.

I am a bit concerned about the methods to be used to downsize the world population, but as long no one is killed, as long as we are just reducing the birth rates, I agree with the idea.

The minimum viable to perpetuate civilization kwa nini iwe 500,000,000 na si 250,000,000 au 750,000?

Hawa jamaa kwa kutaja a number that low wanakuwa kama mtu anayesema speed kills, anaacha kuendesha gari 100 kn/hr anataka liende 5 km hr. Underspeeding is just as bad as overspeeding.

Nature yenyewe inafundisha balance, excess in ny direction is bad be it over or underpopulation. Sasa tukirudi kuwa watu tunaoweza kujaza India tu dunia nzima akae nani?
 
It is only in 1900 that we did hit one Billion (source). If we were to live in a world with minimal adverse footprint on nature (as they seem to promote it) then we would not all go and live in India. we aill spread evenly across the globe (or with more concentration around the tropical regions of it) and live as much as possible from what the earth provides naturally.
As I mentioned, I don't know why 500 000, but to me, the less the better. Until the year 1500 the world population was that: 450M people only. that is where they think we should keep it (I think). Just after that the world witnessed the agriculture and industrial revolutions, with the consequences that we know now... At the bigining of the 20th century there were only 1.6 billion humans. Now look where we are...

The minimum viable to perpetuate civilization kwa nini iwe 500,000,000 na si 250,000,000 au 750,000?

Hawa jamaa kwa kutaja a number that low wanakuwa kama mtu anayesema speed kills, anaacha kuendesha gari 100 kn/hr anataka liende 5 km hr. Underspeeding is just as bad as overspeeding.

Nature yenyewe inafundisha balance, excess in ny direction is bad be it over or underpopulation. Sasa tukirudi kuwa watu tunaoweza kujaza India tu dunia nzima akae nani?
 
It is only in 1900 that we did hit one Billion (source). If we were to live in a world with minimal adverse footprint on nature (as they seem to promote it) then we would not all go and live in India. we aill spread evenly across the globe (or with more concentration around the tropical regions of it) and live as much as possible from what the earth provides naturally.
As I mentioned, I don't know why 500 000, but to me, the less the better. Until the year 1500 the world population was that: 450M people only. that is where they think we should keep it (I think). Just after that the world witnessed the agriculture and industrial revolutions, with the consequences that we know now...

You don't have to reduce our current population to 500,000,000 to lead a sustainable life. On top of that, there is a case to be made that decreasing population will yield benefits to the environment up to a certain point where we will start to see diminishing returns in the sense that the benefit to humanity and the earth in general will be far negligible compared to the regression the world will experience as a result of some tree huggers deciding we are going to severely depopulate.

Megacities are an environmentalist's nightmare, but reasonably sized cities planned with the environment in mind foster creativity and coordination at a level that far flung villagers can hardly attain. And before you pull some Shangri-La adoring chants about how wonderful seclusion can be, which may well be true if you are not interested in scientific progress which is based on cooperation, best fostered in large groups of people, you must acknowledge that there are people in this very world who have managed to have sustainable mid sized environmentally friendly cities. So it is incumbent upon us to get the best that an optimal population can offer without affecting the environment. Aiming lower than is environmentally sustainable is a sort of lazyness that true environmentalist should not embrace, because at heart environmentalist mimic the environment, and the environment has some aspects of the best economy possible. If the environment was "aiming" for safe numbers we wouldn't be here to discuss it.

If you truly believe the less the better then what you are saying really is a world with no people, because no people is certainly less than 500,000,000. Would you go for that thinly shrouded brand of nihilism masquerading as responsible environmentalism?

I can understand someone saying we need to depopulate, but 500,000,000 is simply ushering in a new dark age. And very possible toying with a self inflicted near extinction level of existence.
 
Nimekupata mkuu.
You don't have to reduce our current population to 500,000,000 to lead a sustainable life. On top of that, there is a case to be made that decreasing population will yield benefits to the environment up to a certain point where we will start to see diminishing returns in the sense that the benefit to humanity and the earth in general will be far negligible compared to the regression the world will experience as a result of some tree huggers deciding we are going to severely depopulate.

Megacities are an environmentalist's nightmare, but reasonably sized cities planned with the environment in mind foster creativity and coordination at a level that far flung villagers can hardly attain. And before you pull some Shangri-La adoring chants about how wonderful seclusion can be, which may well be true if you are not interested in scientific progress which is based on cooperation, best fostered in large groups of people, you must acknowledge that there are people in this very world who have managed to have sustainable mid sized environmentally friendly cities. So it is incumbent upon us to get the best that an optimal population can offer without affecting the environment. Aiming lower than is environmentally sustainable is a sort of lazyness that true environmentalist should not embrace, because at heart environmentalist mimic the environment, and the environment has some aspects of the best economy possible. If the environment was "aiming" for safe numbers we wouldn't be here to discuss it.

If you truly believe the less the better then what you are saying really is a world with no people, because no people is certainly less than 500,000,000. Would you go for that thinly shrouded brand of nihilism masquerading as responsible environmentalism?

I can understand someone saying we need to depopulate, but 500,000,000 is simply ushering in a new dark age. And very possible toying with a self inflicted near extinction level of existence.
 
Ndugu yangu, nakubaliana nawe kwamba ni taabu kwa watanzania kuwa na collective power kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kusalitiana au kutojiamini. Lakini pamoja na hayo, nadhani unakubaliana na mimi kwamba nguvu ya nchi, hata kama ina mali kidogo, inatokana na nguvu ya mtu mmoja mmoja. Wewe na mimi na yule tukijiamini, tukapanga mambo yetu na kuyafanya tukiamini yanafaa, ndiyo nguvu ya nchi hiyo. Nafikiri chanzo hapo hasa ni kujiamini na mengine yanafuata.

Pia tunaweza kusema kwamba ikiwa najiona sina nguvu mbele ya yule mchina, basi changamoto yangu kubwa ni kuanza na mchakato wa jinsi ya kuwa na nguvu aidha inayolingana na huyu Mchina au kumkaribia ama kumshinda...nitajishughulisha na mambo ya msingi yanayoweza kuinua power yangu...kama ni utashi wa kisiasa, kidiplomasia, kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk. Yaani badala ya kusema "mimi jamani ni mnyonge" nitajishughulisha kimyakinya hadi naibuka kidedea...hiyo yote ni kwa sababu kila kitu kinachowezekana kwa mwenzio kinawezekana hata kwako pia...the only thing to do is to act and continue to act hadi upae juu.

Kinachohusiana na hili ni mjadala uliomo ktk jukwaa hili wenye uzi (thread) "Elimu ya Tz" ambapo tunajadili mfumo wa elimu wa Tanzania. Mfumo mzuri wa elimu ni ule unaomjengea mwanafunzi power, nikimaanisha mambo makubwa kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Ujuzi na maarifa ya kutosha, ubunifu (wa kisayansi, kisanii, kiteknolojia nk), hali ya kujiamini (kuamini kabisa moyoni kwamba "naweza" na "nitafanya"), uwezo wa kujali utu wa binadamu, utambuzi wa kimaadili na kuwa muadilifu (kujisikia kwamba rushwa ama ufisadi ni aibu kubwa). Mtu yeyote anayepata elimu ktk mfumo wa aina hii atakuwa na uwezo wa kulisimamisha taifa wima kwa namna yeye mwenyewe alivyo na mambo ayafanyayo popote aendapo ulimwenguni...ndiyo power ya nchi hiyo ktk ngazi za kimataifa. Kwa hiyo ndugu yangu, sijayaweka mawazo yangu hapa ktk mpangilio mzuri lakini nadhani ujumbe unaeleweka. Kimsingi naungana nawe, lakini pia nasema kwamba kinaweza kufanyika kitu ili power ipatikane---iwe ya mtu mmojammoja au ya kitaifa...

nimekuelewa na ninakubaliana na wewe ndio maana nami nikaongeza kwa kusema mmoja mmoja mbona wengi tunajiamini, lakini ikiwa wachache sana kati ya wengi sana ndio tupo hivyo, na ukiongeza watendaji walioserikalini wakawa hao wengi wasiojielewa wasiojiamini basi tatizo lipo kubwa. tukija kwa ulinganisho wa nchi bila kutazama mtu mmoja mmoja nchi inawakilishwa na serikali na viongozi wa serikali hao ndio wanaotuangusha na kufanya nchi yetu iwe hivyo navyolaumu ilivyo. serikali ndio ifanyayo uchumi uwe mmbovu kwa kushindwa kusimamia vizuri mali asili za nchi na matumizi mazuri ya fedha.kwa sababu hiyo inaturudisha nyuma kimataifa kama nchi na kutufanya tusiwe na sauti,kwani kimataifa kinachotamba ni nchi gani ina uwezo mkubwa wa uchumi siasa iliyo shawishi na technolojia ya kutegemewa,kama nchi vyote hivyo hatuna kimataifa tutakuwa kweli na sauti yoyote? mimi na wewe kujiamini itatusaidia kama individuals lakini kwa nchi iliyojaa wengi wenye kasoro bado si msaada.
ila nimekuelewa.
 
[h=3]If we had a govt for the ppl, working for the ppl. Tungekusanya ushahidi na kubring these puppets to book halafu hao EO tungewafungulia pia mashtaka kwa wizi, utapeli na ujasusi hapa hapa nchini na hiyo heritage ifukuzwe na ikiwezekana kutaifishwa. Lakini tukumbuke kwamba hili ni genge la kimataifa linalohusiana na serikali nyingi tu................ Na je ss tupo tayari kudeal na BM? Kuna vigogo wangapi ktk serikali ya SA ya sasa na iliyopita wamehusika? Je wanasiasa kule kwa Bibi hawatakuwa na mkono tukiamua kuchukua maamuzi mazito on the intl platform?

Na all in all serikali hii ya JK ipo tayari and willing kudeal na jambo zito kama hili kama hata issue za wizi wa vijihalmashauri vya wilaya hawana uwezo wa kudeal nazo.[/h]
 
If we had a govt for the ppl, working for the ppl. Tungekusanya ushahidi na kubring these puppets to book halafu hao EO tungewafungulia pia mashtaka kwa wizi, utapeli na ujasusi hapa hapa nchini na hiyo heritage ifukuzwe na ikiwezekana kutaifishwa. Lakini tukumbuke kwamba hili ni genge la kimataifa linalohusiana na serikali nyingi tu................ Na je ss tupo tayari kudeal na BM? Kuna vigogo wangapi ktk serikali ya SA ya sasa na iliyopita wamehusika? Je wanasiasa kule kwa Bibi hawatakuwa na mkono tukiamua kuchukua maamuzi mazito on the intl platform?

Na all in all serikali hii ya JK ipo tayari and willing kudeal na jambo zito kama hili kama hata issue za wizi wa vijihalmashauri vya wilaya hawana uwezo wa kudeal nazo.
 
mi nadhan kama pope gregory angebadilisha majina mchango wake ungekuwa mkubwa,au unaonaje bwana kichuguu?
 
Hii ni imani yako mwenyewe uliyeandika hapa, na haimaanishi katu kuwa ndiyo ukweli. Kuna tofauti kubwa kati ya imani na ukweli. Hivi kuna ushahidi gani kuwa huyo unayedai ni Lucifer kwanza kweli yupo na kwamba aliwahi kuzungumza na binadamu, na wapi? Nani aliyeandika hayo na alikuwa wapi (upande wa nani) alipokuwa anayaandika, na tuna sababu gani ya kuamini kuwa ni ya kweli? Na huyo Mungu tunayemgombanisha na Lucifer ndiyo yupi? Kama ni yuleyule anayesemekana kuwa ndiye muumbaji wa vyote (including Lucifer) na mwenye uwezo wote, kuna walakini sana katika maelezo na imani yako! Hivi kuna mantiki hapa; kwamba Mungu muumba wa vyote na mwenye uwezo wote eti anasumbuliwa na viumbe aliowaumba mwenyewe, wanapanga mbinu chafu na wanafanikiwa mbele ya macho yake! Hii inakinzana na ukuu wa Mungu tunaohubiriwa, ambao napenda sana kuuamini. Na hivyo inanifanya niamini kuwa pengine Mungu yule muumbaji ni tofauti na huyu tunayesimuliwa hapa kuwa ana ugomvi na akina Lucifer, eti anakasirikiana na binadamu wake aliowaumba mwenyewe hadi anaamua kuwaangamiza kwa maji mara moto, mara gharika! Hata mhandisi wa kawaida binadamu tu akisanifu chombo chake kikatokea kutenda kazi kinyume na design aliyokusudia huwa hakichomi moto, badala yake anarudi kwenye drawing board na kutazama alipokosea ili arekebishe kiwe ama anavyotaka. Wanaotuhubiria kuhusu Mungu wanatuaminisha kuwa Mungu alishindwa kuumba binadamu wenye kumtii na sasa ameishia kuwakasirikia na kuwachoma moto!

Kwa kifupi sana ni kuwa hadithi zote kuhusu hao miungu mnaosimulia na akina Lucifer na kadha wa kadha hazina tofauti na zile za Alfu lela ulela, ni hadithi tu ambazo hata kimantiki zinajipinga zenyewe, mwenye kutaka kuziamini ni haki yake lakini imani na ukweli ni vitu tofauti kabisa.

Ndio maana huwa nasema kila siku kuwa bado hatujui mungu ni nini/nani?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya imani na ukweli. .

Ningependa tuongee kiundani kuhusu hili:

1. Niwakati gani Imani inakuwa si kweli?

2. Niwakati gani Imani inakuwa kweli?

3. Ukweli kama unavyo dai wewe: Ni wakati gani ukweli unakuwa Uongo?

4. Ni wakati gani Ukweli unabakia ukweli na unakuwa umetumia vigezo gani?

5. Kivipi umeamua kulinganisha na/au fananisha "Imani na Ukweli"?

6. Kuna uhusiano gani kuhusu Ukweli na Uongo na/au Imani? Since uliamua kusema kuna tofauti kubwa kati ya hayo maneno mawili. "Imani na Ukweli"
 
Setuba,realness,kichuguu na wengine,nilizungumza mazingira ya siku 11,na umuhimu wa papa gregory wa 13,mkadai hiyo ni imani yangu na wengine mkadai hata huyo lucifer hayupo,naomba mniambie nani alifanya haya na kwanini hizi namba 11 na 13 zimelizunguka tukio la sept 11 kama namba hizi hazina a maana,angalia post yangu inayofuata..........
 
Tukio la sept 11 lilihusisha miji ya washington,new york na nchi ya afghanistan;Neno Washngton dc,ukiliandika kwa usahihi lina herufi 11,The Pentagon nayo ina herufi 11,jina George W Bush lina herufi 11,neno Afghanistan lina herufi 11,jina la alietuhumiwa kupanga mashambulizi hayo ni Ramzi Yousef,lina herufi 11,sept 11 ukiiandika ni 911 ambayo ni 9+1+1=11,tukio lenyewe lilitokea tarehe 11,ndege ya kwanza kugonga WTC ni flight 11,ilikua na wafanyakazi 11,ilikuwa na abiria 65,6+5=11!Ndege iliyogonga Pentagon ni flight 77,ukigawa kwa 7 unapata 11,ilikua na abiria 92,9+2=11!Majengo yote yalivyokua yamesimama yanatengeneza namba 11 na yana ghorofa 110..Inaendelea post inayofuata......
 
Setuba,realness,kichuguu na wengine,nilizungumza mazingira ya siku 11,na umuhimu wa papa gregory wa 13,mkadai hiyo ni imani yangu na wengine mkadai hata huyo lucifer hayupo,naomba mniambie nani alifanya haya na kwanini hizi namba 11 na 13 zimelizunguka tukio la sept 11 kama namba hizi hazina a maana,angalia post yangu inayofuata..........
 
Setuba,realness,kichuguu na wengine,nilizungumza mazingira ya siku 11,na umuhimu wa papa gregory wa 13,mkadai hiyo ni imani yangu na wengine mkadai hata huyo lucifer hayupo,naomba mniambie nani alifanya haya na kwanini hizi namba 11 na 13 zimelizunguka tukio la sept 11 kama namba hizi hazina a maana,angalia post yangu inayofuata..........
 
Sept 11 ni siku ya 254 ya mwaka,2+5+4=11,na zinakua zimesalia siku 111 mwaka uishe!New York City nayo ina herufi 11 na ni taifa la 11 kujiunga na USA!911 ni namba ya dharula ya Marekani!Majengo ya WTC yakiwa yamesimama yanatemgea namba 11 jumlisha na namba ya ndege ya kwanza kugonga WTC ambayo ni flight 11 kisha tarehe ya siku ya tukio yaani tarehe 11 unapata 33,hii ni idadi ya digree ya Freemason!Wakati ndege ya kwanza ingonga WTC ilikuwa umbali wa futi 159 na inchi 2 kutoka ardhini,1+5+9-2=13!Hekalu la freemason wa digree ya 33 liko umbali wa 13 blocks kutoka white house!Ukitaka kujua maana ya namba hizo angalia post zangu zilizotangulia pia kuhusu sept 11 au maarufu kama 911 soma ufunuo 9:11,pia kwa namba 13 soma mwanzo 14:4,ila kwa maelezo angalia post zangu zilizotangulia ujue maana ya namba hizo kwa mujibu wa waabudu shetani hawa!Je hayo nayo ni imani yangu?Je osama alipanga hayo?Au ilikua ni ibada ya kishetani?
 
Back
Top Bottom