Currently Active Users Viewing This Thread: 264 (67 members and 197 guests)
Ngongo, Adolf, allse, Alpha, an, August, Azimio Jipya, BabaH, Bazobonankira, Bi Shost, bob, Boney E.M., Bonnie1974, bulugu, Chuma, COMRADE44, Damky, Domo Kaya, don, Dotori, Edo, EvanMakundi, Francis the King, Hidayante, Himawari, Hofstede, Interested Observer, Iteitei Lya Kitee, Jibaba Bonge, KatuleJ, Kichuguu, kilongwe, Kimambo, kireka1980, korosho, leseiyo, macinkus, mageuzi halisi, Malunde-malundi, Mbalamwezi, Middle, Mizani, Mkora, moelex23, Mong'oo, mpagazi1, Mr. Zero, mtimti, MTM, mundu, Mutu, MwakyJ, Mzee Mwanakijiji, Mzuzu, Natasha Ismail, NGAUTI, Njimba Nsalilwe, Nono, Nsololi, Ochu, Realist, remyshas, Shapu, Shiduki, tofty, TooGood, Tuandamane
Wakuu leo naona hakuna kulala mpaka kieleweke.
Wenye data za mzee wa vijisenti tafadhali tunaomba up dated data
Lakini si alijua kwamba atapanda kizimbani? Kwanini hakujiandaa? Masharti ya dhamana ni yepi?
Vyumba vya VIP vya kina Mramba na Yona viko wazi vinamsubiri yeye kule! Mimi nahisi hii ya kuwapeleka mahakamani kwa zamu ni kuhahakikisha kwamba wanalala kwenye vile vyumba vya VIP kule Keko bila kubanana!
Mgonja akielekea mahakani na baada ya kusomewa mashtaka. Check attachments
Ameshindwa kutimiza masharti ya dhamana na kapelekwa Keko.
Billion 5.9 ndiyo ilihitajika.
Mzee Mwanakijiji,
What a move is this?hivi maono yako yale ya mwaka jana yameishia wapi?maono yahusuyo uzugaji.Naitamani sana ile makala yako..naomba uiweke hapa tafaradhali
Mkuu Gembe,
Ni mapema mno kuanza kushangilia sana maana kunaweza kuwa na kamchezo kanachezwa hapa.
Tunachoweza kufanya ni kuwapongeza wahusika ili wapate nguvu zaidi ya kuwafunga kengere mafisadi.
Mimi sitafungua wine yangu mpaka nione mwisho wa hizi cases. Huenda ukawa mwendo kama ule wa case ya Mahalu, mpaka uchaguzi unafika bado case zinaendelea tu kupangiwa tarehe.
Watu kama Mwanakijiji wamesaidia sana kutufikisha hatua hii maana wamepiga kelele mpaka ambao hawakutaka kusikia wamesikia.
Tuendelee kusubiri mwisho wa hii movie.
Pls confirm this??? Mnaturusha roho namna hii jamani; Nilisikia majaji wako ktk likizo imekuwaje??? pls update this is more sensitive
naamini hakuna jaji aliyesikiliza kesi za yona na mramba, bali kesi zao zilisikilizwa na hakimu. Hivyo sioni kama kuna haja ya kuruka roho. Hakimu anaweza kuanza kusikiliza kesi ya mgonja kama alivyosikiliza kesi za yona na mramba.
Hata kama ingesikilizwa na jaji na huku sisiemu ikiendelea kutuzuga mambo yatakuwa ni yaleyale. Chukua mfano wa mboma kuchukuwa fomu za kugombea ubunge mbeya vijijini kupitia sisiemu ndipo utapata jibu. Kama hutakuwa hujapata jibu uliza niko tayari kufafanua.
Invisible,
Huyu jamaa kesho atapeleka hati ya viwanja vyake vya mbezi beach na atapewa dhamana, wakati huo huo tunaambia Tz ardhi ni mali ya serikali, hapa ndipo sheria inaponitatiza...wanasheria mnasemaje juu ya hii kitu...
Du 5.9 bills imekaa vibaya.
Plse tunaomba updates za Chenge pia as of todays position. maana wengine tupo nje ya jiji. Wenzetu mlioko bongo jijini tuhabarisheni.
Thanks invisible for the breaking news.