Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,186
Umempatia kweli. mungu akubariki.Ukiongelea kinyume
Umempatia kweli. mungu akubariki.Ukiongelea kinyume
Unamuongelea Sugu mbona hata tatoo anayo.
Hivi huyu Sioi Mgimwa hajatoboa maskio na kuvaa mihereni ya kimamtoni?
Tumia akili kidogo, huyo mjinga anajisifia kuwa yeye sio mshamba kwa sababu tu amezaliwa Aga Khan, mimi namuambia kwani kuzaliwa Aga Khan kumemsaidia nini? Sidhani kama Kikwete amezaliwa Aga Khan na sasa ni raisi wa nchi hii. Kuzaliwa au kutozaliwa Aga Khan ni nafasi tu ambayo iko nje wa uwezo wa yule anayezaliwa na hiyo nafasi si kigezo cha wewe kuwa mjanja au mshamba, mshamba ni yule aliyezaliwa Aga Khan halafu akazani hilo tu linamqualify kuwa mjanja kama huyo f.a.l.a Sixgate.Fuatilia kwa makini, unadhani kikwete kato familia ya kishamba?
Nimesikia wafadhili wa nchi za Uholanzi na Ujerumani misaada yote ya Uganda watapeleka ChademaKama uliona Tatoo ya sugu basi usitembelee Uganda kwa M7 ama sivyo utakoga mvua 14
Acha ushamba wewe, kama umezaliwa Aga Khan then what? Kikwete hajazaliwa Aga Khan na sasa ni raisi wa nchi while wewe uliyezaliwa Aga Khan the best you can do ni kupost uharo wako hapa JF.
hatari sana kama umeona tattoo ya Sugu, hajakupa mimba kweli?Unamuongelea Sugu mbona hata tatoo anayo.
Grace tendega namuonea huruma sana. Angeshinda tatizo ni chama alichopo
Kitu kimoja ninachowapendea wana Kalenga ni kwamba Wameelimika kwa kiwango kikubwa, na hawawezi kumchagua mtu kwa kigezo kuwa baba ake alikuwa mbunge ata siku moja.
Na mpaka sasa mbunge wa wana Kalenga ndio huyu hapa.
View attachment 143255
Jamaa umepotea sana,vipi harakati za ACT?
Kuzaliwa agakhani ndio ushamba? M just a victim of circumstance.. Fuatilia historia ya hili taifa, Nyerere angebaki huko kwao musoma apiganie uhuru bila kuja dsm.
hatari sana kama umeona tattoo ya Sugu, hajakupa mimba kweli?